Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
- Thread starter
-
- #21
Nimechekaajeeee....usituaibishe
Labda Madam Lwakatare lakini pia pesa yake ni chafu.
Mwamvita is just employee hana uwekezaji wowote wa kushtua
Mangelicious huyo ni mwekezaji wa CL
BiMdogo sitaki kumwaga mtama.
Networth::Unknown??? Sasa wamejuaje kwamba ni millionea???
Sijamuona Mama Anna Mkapa
Sijamuona Mama wa Sophia House
Huwa hamkawii kumjumuisha hata lady jaydee kwenye hiyo list ya matajiri!
bila kuhonga ngono hawawezi kufanikiwa. Ni wachache waliofanikiwa bila kutumia v. Hii inawaathiri sana waliosoma.
wapi Bi. Kiroboto.,mbona hamumtendei haki jamani?
Sasa hao wengine vipi wawe on top of the list halafu networth yao haijulikani kivipi?
Bibi kiroboto ana nini na wewe?
ana Mabasi ya Yutong 8 na nyumba kama ya 200 M hivi pale Sinza
madesa haya mkuu ndio maana wanakuja na ishu za Copy and Paste halafu kutetea hoja zao hawawezi
Duu ni ngumu kujua mwanamke tajiri bongo,mwenye viwanda,majumba tatizo waume wa bongo hudandia mafanikio ya wake zao!