Je unawajua Mamilionea wa Kike Afrika

Je unawajua Mamilionea wa Kike Afrika

Nimechekaajeeee....usituaibishe

Labda Madam Lwakatare lakini pia pesa yake ni chafu.
Mwamvita is just employee hana uwekezaji wowote wa kushtua
Mangelicious huyo ni mwekezaji wa CL
BiMdogo sitaki kumwaga mtama.

Tumwagie tu huo mtama madame X sisi tuufaidi.
 
bila kuhonga ngono hawawezi kufanikiwa. Ni wachache waliofanikiwa bila kutumia v. Hii inawaathiri sana waliosoma.

Hizo ni fikra zako tu mkuu. Wanaweza kufanikiwa bila kuhonga ngono kama wakiacha tabia hiyo, kujiwekea malengo na kufanya kazi kwa bidii.
 
Sasa hao wengine vipi wawe on top of the list halafu networth yao haijulikani kivipi?

madesa haya mkuu ndio maana wanakuja na ishu za Copy and Paste halafu kutetea hoja zao hawawezi
 
Duu ni ngumu kujua mwanamke tajiri bongo,mwenye viwanda,majumba tatizo waume wa bongo hudandia mafanikio ya wake zao!
 
Duu ni ngumu kujua mwanamke tajiri bongo,mwenye viwanda,majumba tatizo waume wa bongo hudandia mafanikio ya wake zao!

Unaposema wanaume hudandia mafanikio ya wake zao una maana gani mkuu? Inamaana wanawake huwa hawadandii mafanikio ya waume zao?
 
Mbona sijaona jina la Wema sepetu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mboni Masimba, Kibibi Sinta, Jaqueline Wolper, Irene Uwoya, Jockate, Wema, na yule Mange Kitambi sijui Kimambi na waogea kopo wengine kwa ujumla njoeni muwaone jinsia wenzenu wanaostahili kujishaua...
 
Back
Top Bottom