Je unawajua wafanyakazi ndani ya Balozi zetu huko nchi za nje ??

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Kama mnawajua watajeni majina yao ,ndio mtawafahamu ni akina nanni na wanahusiana ni ndugu au watoto wa wakuu wakuu ,nyie andikeni majina yao hapa ,mtazidi kuzinduka.
 
Sasa nawe hapa umeona kuwa umepandisha uzi?
 
Hii Post haijaeleweka lakini ilikuwa na mweleko mzuri sana, nia nadhani ilikuwa ni kutaka kujua majina ya wafanyakazi waliopo katika balozi zetu, jamaa anaamini kama majina yakitajwa hapa mengi yatakuwa yanarelate na ndugu, watoto wa vigogo waliopo serikalini, kwa maana hizi ajira zilipatikana kimchongo.
 
Kama mnawajua watajeni majina yao ,ndio mtawafahamu ni akina nanni na wanahusiana ni ndugu au watoto wa wakuu wakuu ,nyie andikeni majina yao hapa ,mtazidi kuzinduka.

Tumtafute Mungu na nguvu zake na mengine yote tutazidishiwa

Mathayo 19: 27 - 29​

Ndipo Petro aka mwambia, “Na sisi tulioacha kila kitu tukakufuata tutapata nini?”
Yesu akawajibu, Ninawahakikishia kwamba, mtu aliyeacha vyote kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia zaidi ya hayo, na atarithi uzima wa milele.

Kumbukumbu la Torati 28:1-19 SRUV​

Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani; na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani.
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, kuongezeka kwa ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo wako.
Litabarikiwa kapu lako, na chombo chako cha kukandia unga. Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo.
BWANA atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. BWANA ataiamuru baraka ije juu yako katika ghala zako, na mambo yote utakayotia mkono wako; naye atakubarikia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako.
 
Hii Post haijaeleweka lakini ilikuwa na mweleko mzuri sana, nia nadhani ilikuwa ni kutaka kujua majina ya wafanyakazi waliopo katika balozi zetu, jamaa anaamini kama majina yakitajwa hapa mengi yatakuwa yanarelate na ndugu, watoto wa vigogo waliopo serikalini, kwa maana hizi ajira zilipatikana kimchongo.
Ndiyo maana yake mkuu watu wa michongo
 
Hii mada Haina afya...

Mambo yao waachieni wenyewe...
 
Hii Post haijaeleweka lakini ilikuwa na mweleko mzuri sana, nia nadhani ilikuwa ni kutaka kujua majina ya wafanyakazi waliopo katika balozi zetu, jamaa anaamini kama majina yakitajwa hapa mengi yatakuwa yanarelate na ndugu, watoto wa vigogo waliopo serikalini, kwa maana hizi ajira zilipatikana kimchongo.
Nyie ndio watu mnaofaa kufundishwa na mapofesa ,wengine ni wale wa mwalimu na Chaki ubaoni.
 
Back
Top Bottom