Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Wanaoleta uchochezi kwenye uchaguzi mkuu wa kila mwaka kuanzia 1995 wengine walikwisha kufa na wengine bado wapo kwa kuweka kifungu na wengine kushindwa kukibadilisha katika katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya 1977.
Ibara ya 41 (7) ya marekebisho ya mwaka 1995 na 2005 chini ya Mwanasheria Mkuu A. J. Chenge inasema "iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake".
Hivi kila mtu na mambo yote si yako chini ya sheria? Sasa hili mbona linakuwa juu ya sheria? Hivi wewe Obama unakijua kifungu hiki cha katiba yetu mpaka ututolee mfano wa utawala bora, utawala wa sheria?
Orodha ni hii hapa:
1. hayati Mwalimu Nyerere
2. Ali hassan Mwinyi
3. Ben Mkapa
4. Jakaya Mrisho Kikwete
5. wabunge wote waliopitisha kifungu hiki na kukihusudisha
6. .......
7. ......