Nimeikumbuka kazi nzuri iliyofanywa na Tume ya katiba mpya aka Katiba ya Warioba.
Kwa bahati mbaya bunge maalumu la katiba mpya lilishindwa kukamilisha mchakato huo kwa sababu ambazo hazieleweki sawa sawa.
Najiuliza tu kama wale vinara wa ile tume ya Warioba bado wana moyo ule ule mkunjufu na uliojaa uzalendo wa kuipigania Katiba mpya.
Maendeleo hayana vyama!