Je, unawakumbuka vinara wa Tume ya Katiba mpya? Ungependa tuwaombe watusaidie kufufua mchakato wa Katiba mpya?

Je, unawakumbuka vinara wa Tume ya Katiba mpya? Ungependa tuwaombe watusaidie kufufua mchakato wa Katiba mpya?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimeikumbuka kazi nzuri iliyofanywa na Tume ya katiba mpya aka Katiba ya Warioba.

Kwa bahati mbaya bunge maalumu la katiba mpya lilishindwa kukamilisha mchakato huo kwa sababu ambazo hazieleweki sawa sawa.

Najiuliza tu kama wale vinara wa ile tume ya Warioba bado wana moyo ule ule mkunjufu na uliojaa uzalendo wa kuipigania Katiba mpya.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tutakuteka mkuu, umeiona wapi kwenye ilani yetu. Acha tuijenge nchi kwanza.

Maendeleo yana vyama.
 
Back
Top Bottom