Unakodisha ivyo vitu kwa mtu anayetaka kufanya hii biashara afu hana uwezo wa kununua vitu. Huwa tunakodisha extenal kwa siku 2,000/= CPU 4,000/= hata zaidi ya hapo. sasa inategemea na wew unakodishaje kama full office equipment inaweza kuwa hata 7,000/= au 10,000/= kuendana na uwezo wa vifaa vyako.
Huwa tunalipa basata kama unadili na bongo movie. Kama haudili na bongo movie hata hawahusiki. Unalipa halmashauri na tra tuu. Ila unapitia kwa afisa utamaduni