paul c
Senior Member
- Jan 20, 2015
- 123
- 110
- Thread starter
- #41
Unakodisha ivyo vitu kwa mtu anayetaka kufanya hii biashara afu hana uwezo wa kununua vitu. Huwa tunakodisha extenal kwa siku 2,000/= CPU 4,000/= hata zaidi ya hapo. sasa inategemea na wew unakodishaje kama full office equipment inaweza kuwa hata 7,000/= au 10,000/= kuendana na uwezo wa vifaa vyako.Kukodisha hapo inakuaje mkuu??