Je, unaweza date na Primary School classmate wako?

Je, unaweza date na Primary School classmate wako?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau kwema.

Mwenzenu kuna manzi nilisomaga nae primary school huko Kazulamimba years ago, sasa kupitia haya ma Group ya WhatsApp mtoto wa kike tumezoeana gafla na viutani vya hapa na pale vya kuitana "mine", dear, nimetokea ku fall in love na yeye gafla,

Imefikia hatua napanga nimuangushie maneno yaliko moyoni, japo kuna roho nyingine inanipa swali utawezaje date na msichana niliyesoma naye Primary School?

Wadau embu niliwasilishe katika board room yenu, share your comment on this. Can you Do it?
 
Hkgd kudsb gavfs yatakukuta makubwa.
 
Other things kept constant, huyo ni agemate wako. Binafsi naonaga poa Mwanaume akiwa mkubwa ki umri kuliko Mwanamke
 
Other things kept constant, huyo ni agemate wako. Binafsi naonaga poa Mwanaume akiwa mkubwa ki umri kuliko Mwanamke
Yah mkuu ni age mate wangu ila nahisi nimempita kama mwaka au miaka 2 siunajua zaman sisi tulikuwa tuna anza standar 1 na 6-9 yrs
 
Hkgd kudsb gavfs yatakukuta makubwa.
Una andika mashudu gani kama huwezi kutoa kitu kinachoeleweka si kheri ukapiga kimyaaaa ....muonee kwanza mdomo kama kolekolee
 
Una andika mashudu gani kama huwezi kutoa kitu kinachoeleweka si kheri ukapiga kimyaaaa ....muonee kwanza mdomo kama kolekolee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maweeeeeee
 
Nikiwa form four mwaka 2010 classmate wangu niliemaliza nae shule ya msingi alikua na watoto watatu. Na pia alikua mjamzito. Sasa imagine hali iko vipi miaka kumi baadae!
 
Back
Top Bottom