Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe?

Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe?

Yes Wakoloni walijenga kwa Matumbawe na yamekaa zaidi ya miaka 100 hadi 500 mfano majengo ya kilwa mpaka leo yapo.
Hivi kwa sehemu mawe yanapatikana hii si ni njia ya bei nafuu sana kujenga ghorofa maana haitumii nondo wala nini. Ukiweka msingi imara tu basi.
 
Yes Wakoloni walijenga kwa Matumbawe na yamekaa zaidi ya miaka 100 hadi 500 mfano majengo ya kilwa mpaka leo yapo.
Au Bagamoyo. Halafu nasikia ile mortar waliyokuwa wanatumia ni matumbawe wamesaga na kuchanganya sijui na mfinyanzi. Inadumu balaa, hadi leo imeshikilia majengo. Nasikia hii saruji ya kawaida(Portland) inakaa miaka 50. Kama ingekuwa dawa maana yake inaexpire miaka 50.

Ila mawe ya huku bara mazito balaa. Jengo haliwezi kutitia kweli?
 
Back
Top Bottom