Yanii kama DC huwezi funga angalau 10mil kwa mweziii bora uingie field kama sabayaa tuu..Labda kama una maelewano mazuri na mkurugenzi wa halmashauri maana uko ndo kwenye pesa lasivyo utakuwa mpiga domo tu jukwaani. Ukiona mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa halmashauri hawaelewani ujue mkurugenzi anakula peke yake
Kukataa uteuzi sio kosa wala dhambi....halafu wao sio wa kwanza kukataa na huenda wasiwe wa mwisho pia.ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
MAMBO yamekuwa MAMBO .Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Na ndicho kilichomuondoa Basila Mwanukuzi aligombana na DED ha ha ha haaa.Labda kama una maelewano mazuri na mkurugenzi wa halmashauri maana uko ndo kwenye pesa lasivyo utakuwa mpiga domo tu jukwaani. Ukiona mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa halmashauri hawaelewani ujue mkurugenzi anakula peke yake
Q. Je, utakubali U-DC au utakataa?MAMBO yamekuwa MAMBO .Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Nan huyo analipwa hio taasisi gan??MAMBO yamekuwa MAMBO .Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Duuh!!! Unafurahisha miaka ile waziri mkuu anagomewa na mkuu wa wilaya hukuwepo enzi za jk!?Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa Kamati ya siasa ya wilaya, ni Mkurugenzi mjinga tu peke yake ndio hawezi kwenda sawa na Dc ambaye kimamlaka ni mkubwa wake wa kazi.
[emoji23]Bora uendelee na kazi yako...huwezi kuishi kwa kulamba matako ya mtu kama marehemu magufuri
Unaposikia neno mkuu wa wilaya yeye ndio Rais wa wilaya hiyo, hakuna mkubwa zaidi yake, na yeye ndio Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama, anayo hata mamlaka ya kuamuru Mkurugenzi awekwe ndani kwenye serious issue.Duuh!!! Unafurahisha miaka ile waziri mkuu anagomewa na mkuu wa wilaya hukuwepo enzi za jk!?
Kisiasa tu ndio mkubwa ila wote ni wataeule na kimamlaka ya utendaji mkurugenzi ndio anamamlaka zaidi.
Hujasikia hata lile sakata la mkurugenzi na mkuu wa mkoa kulalamika mkurugenzi anakula hela mwanza
Kwani si tayari polisi wamewahoji kwa saa kadhaa?ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Mkuu hizo ni siasa tu, kiutendaji mkuu wawilaya hana kazi yeyote wala majukum yanayoeleweka.Unaposikia neno mkuu wa wilaya yeye ndio Rais wa wilaya hiyo, hakuna mkubwa zaidi yake, na yeye ndio Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama, anayo hata mamlaka ya kuamuru Mkurugenzi awekwe ndani kwenye serious issue.
Sijui shule huwa mnaenda kufanya nini?
Wewe unajuwa tender moja tu ta T-shirt za mei mosi CWT wanaorder za sh ngapi na commission inatoka ngapi?Its pure political post, marupurupu ni mengi kama ukielewana ma Mkurungenzi. Bajeti ya Halmashauri nyingi ni zaidi ya Bil 500 hadi Trilion moja, sasa masalia lazima yatakufuata mezani ndugu...cha msigini ni kuelewana na Bajeti holder ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri - mnakula taratibuuu... sasa hiyo 9m ni kitu gani.
Na kama ulifuatilia pia kisa cha mkenda na kigwangala, kisiasa waziri ni mkubwa ila kiutendaji katibu mkuu ndio mwenye mamlaka.Unaposikia neno mkuu wa wilaya yeye ndio Rais wa wilaya hiyo, hakuna mkubwa zaidi yake, na yeye ndio Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama, anayo hata mamlaka ya kuamuru Mkurugenzi awekwe ndani kwenye serious issue.
Sijui shule huwa mnaenda kufanya nini?
umewahi kubeti?Mimi ningekuwa DC tu.
Kwanza marupurupu.
Ninaweza kukopa zaidi ya million 100 na kufanya miradi.
Ntaendeshwa na gari na kuwa bosi wa wilaya nzima.
Mwisho nitakuwa chawa wa mama hadi anarudishe Tena madarakani niendelee kula mema ya ya nchi.
Teuzi haina security yoyote mteuzi akiamka vibaya hata kesho tu anakutengua. Uteuzi ni utumwa wa aina yake na unalazimika kuwa chawa kwa mteuziMAMBO yamekuwa MAMBO .Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?