Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hao jamaa walivyo na hila. Wanakuteua ukikataa wanakubwaga kote.MAMBO yamekuwa MAMBO. Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je, UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Hapa ndipo tatizo linapoanzia. Kizazi cha nyoka kinafikiria kuiumiza nchi tu.Ingekuwa maisha ya zamani UDC ni Sawa kabisa maana una uhakika wa miaka mingi hadi kustaafu au kupanda kuwa RC. Ila kwa sasa hapana aisee. Tena 2023 imebaki miezi michache mnaingia uchaguzi na mkeka mpya unatoka
Acha uongo ww unajua trilion ww?Its pure political post, marupurupu ni mengi kama ukielewana ma Mkurungenzi. Bajeti ya Halmashauri nyingi ni zaidi ya Bil 500 hadi Trilion moja, sasa masalia lazima yatakufuata mezani ndugu...cha msigini ni kuelewana na Bajeti holder ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri - mnakula taratibuuu... sasa hiyo 9m ni kitu gani.
Hapa unamtia ubaya raisi na serikali kwa ujumla. Ukikataa Wala hakuna shida wengi tu wamewahi kukataa na hawakukutana na hayo unayosema.Kwani si tayari polisi wamewahoji kwa saa kadhaa?
Tatizo lao wameangalia mshahara tu hawakuangalia fursa zinazowazunguka za halali na zisiszo halali ambapo nyingi Ni zisiszo halali!
DC amepewa mamlaka ya kusimamia shughuli zote wilayani kwake kwa niaba ya Rais! Njoo kwenye miradi ya maendeleo (hapo ndo penye pesa)
Unless tuseme wameamua kuwa waadilifu Ila jekweli Ni waadili kwenye dhamana walizonazo?
Kimsingi watajuta sana, katika mojawawapo ya makosa makubwa kwenye state Ni kumgomea Rais, Ni dharau kubwa kwa nchi na serikali! Hawa viongozi wa cwt Ni waalimu na Ni waajiriwa wa serikali hiyo hiyo inayoongozwa na aliyewateua! Kesho wanaweza kupata uhamisho wa lazima wakapelekwa huko periphery of peripheral!
Wakiwa huko wakashindwa kutumiza majukumu yao kwa.mujibu wa katiba na kanuni za CWT hali itakayofanya waondolewe kwenye nafasi zao!
Watarudi kuwa waalimu wa kawaida and totally blacklisted kwenye appointments za serikali!
Wakijihushsha na shughuli binafsi Kama biashara TRA na associates wako nyuma yao,
Wakijihushsha na kilimo NEMC and associates wako nyuma yao!
Wakifanya makosa kidogo tu TANPOL wanajazia ya kutosha!
Kiufupi they will be haunted till down! Kuna watu tayari wanaandaliwa kuwa nyuma yao for pay! Mark my words
Bila kujali mshahara waneitikia wito wa Rais Basi!
Hapo inahitaji akili kidogo sana kupata jibu.sababu unaenda kwenye ajira ambayo kesho yake yanaweza tokea mabadiliko yakakuacha unashangaa tuu barabaraniMAMBO yamekuwa MAMBO. Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je, UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Huwa nakuambiaga huna akili. Wilaya zipo karibu 130 nchi nzima. Ikiwa bajeti ni bil 500, tafsiri yake wilaya zote bajeti yake ni trillion 65. Hebu tuambia bajeti ya nchi ni kiasi gani? Na hapo bado bajeti za wizara na taasisi zingine.Its pure political post, marupurupu ni mengi kama ukielewana ma Mkurungenzi. Bajeti ya Halmashauri nyingi ni zaidi ya Bil 500 hadi Trilion moja, sasa masalia lazima yatakufuata mezani ndugu...cha msigini ni kuelewana na Bajeti holder ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri - mnakula taratibuuu... sasa hiyo 9m ni kitu gani.
Humu wengi ni watu wajinga mno. Amini hivyo, wilaya zipo karibu 130, kwa anavyosema Ina maana bajeti ya wilaya zote ni trilion 130.Acha uongo ww unajua trilion ww?
Piga idadi ya wilaya tanzania halafu assume tu nusu ya hizo wilaya wanapewa bajeti trilion ....
Na ufuatilie bajeti ya nchi uone ulichoandika ni kweli....na hapo kwenye bajeti bado ni kwa vitu vyote sio tu halmashauri
Watanganyika mnafeli wapi? Mbona mawazo yenu ni wizi tu, hem jitahidini muwe na roho ya kukinai na mnachokipataHivi wakuu wa wilaya hata kama wanalipwa 3M si wana mianya mingi ya kupiga pesa ? Au huko nako kumebana wadau ?
Yupo mzimaa wa afyaa yeye na familia yakee!toen uongo wa mitandaoniMe mwenyewe nilitaka nikuulize wewe. Maana watu wancheza na amri.
Wala sihitaji kupiga, UPIGAJI ni upumbavu tu!Unakubali .maan utatafuta sehemu ya kupiga.
Wewe unaweza ukawa ni Nabii wa Karne katika hlii! Naelewa kabisa lecture uliyotoa hapa wala sihitaji tutorial kuweza kupata A kwenye mtihani kama mwanafunzi wakoKitu kikubwa kinakuja mtakuja kuelewa tu achaneni na waropokaji malisa sijui Ole Mushi .
yah inawezekana kwa mkereketwa wa CCM tuMambo yamekuwa mambo. Wewe ni mtumishi wa taasisi fulani unalipwa mshahara wa Tsh.Mil.7.8
Unateuliwa kuwa DC ili upate mshahara wa Tshs mil.3 na shangingi
Je, utakubali teuzi au utakataa?