Saidy Januzaj
Member
- Apr 13, 2014
- 69
- 10
Naomba kuuliza kwa wanaojua..hv unaweza ukachaguliwa combination ya CBG ikiwa BIOS na GEO umepata C then CHEMIA umepata D..msaada pls
Yec unaweza kbs kuchaguliwa coz hakuna somo ulilofail apo na ukzangatia uhaba wa wanafunz kwny combnatn za science.Cha muhm point zako ziwe nzur.
Yec unaweza kbs kuchaguliwa coz hakuna somo ulilofail apo na ukzangatia uhaba wa wanafunz kwny combnatn za science.Cha muhm point zako ziwe nzur.
we umefaulu geo kweli?..kaza upate one then nifate cuhas tupge pharmacy kaka
Loading....
Acha uchawi we mbona umeomba msaada pale chini umesaidiwa?
Afu mwenzako yupo serious unamwandikia pumba!