Je unaweza kuchaguliwa CBG kwa haya matokeo?

Je unaweza kuchaguliwa CBG kwa haya matokeo?

Saidy Januzaj

Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
69
Reaction score
10
Naomba kuuliza kwa wanaojua..hv unaweza ukachaguliwa combination ya CBG ikiwa BIOS na GEO umepata C then CHEMIA umepata D..msaada pls
 
Yec unaweza kbs kuchaguliwa coz hakuna somo ulilofail apo na ukzangatia uhaba wa wanafunz kwny combnatn za science.Cha muhm point zako ziwe nzur.
 
Acha uchawi we mbona umeomba msaada pale chini umesaidiwa?

Afu mwenzako yupo serious unamwandikia pumba!

umeona eee.watu wengine cjui ni vp coz wao wanasaidiwa bt wao hawataki kuwasaidia wenzao
 
Back
Top Bottom