Je, unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo immediately baada ya kumaliza zoezi la kifua?

Je, unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo immediately baada ya kumaliza zoezi la kifua?

Joined
Dec 23, 2021
Posts
56
Reaction score
228
Habari zenu wana jf,

Nilikuwa nahitaji nipatiwe elimu kidogo juu ya suala hili.,

Kama unafanya mazoezi ya kifua ukiwa nyumbani yan home workout, je unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo immediately baada ya kumaliza zoezi la kifua au utakuwa unaharibu utaratibu.

Naomba kuwasilisha
 
Ni Mapacha !! Inawezekana na italeta matokeo haraka !! Ingekuwa unafanya kifua alafu unahamia kwenye mazoezi ya Mgongo au sholder ingekuwa ngumu
 
Back
Top Bottom