Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Swali tata...wengi najua wataogopa kulijibu..lakini ukweli unabaki pale pale lazima wote tutaiacha dunia..
Je una siku ngapi zimebaki?? Na kwanini unahisi zimebaki siku idadi hiyo??
Je umejiandaaje.?
Je kabla hujaiaga dunia ungependa ukamilishe jambo gani.?
Je kabla hujaondoka ungependa ushuhudie jambo?/tukio gani??
Je utakaowaacha wengi watahuzunika au watafurahi?.