Je! Unaweza kuifananisha CCM na nini?

Je! Unaweza kuifananisha CCM na nini?

Na chama vingine vya enzi zile za ukombozi kama vile KANU na vingine vingi vya nchi nyinginezo ambapo vimebaki kusomwa kama historia tu Basi lakini havipo Tena kwa sababu ya kuchakaa sana watu wa mataifa kutaka maono mapya Kwani kuna falsafa kuwa “ Changes leads into improvements “
 
Yohana 11:49 Mtu mmoja miongoni mwao, Kayafa, aliyekuwa Kuhani Mkuu mwaka ule, akawaambia, Ninyi hamjui neno lo lote; A
Yohana 11:50 wala hamfikiri ya kwamba yafaa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, wala lisiangamie taifa zima.
 
Tukiwa tunaelekea kuufunga mwaka 2023, na CCM kikiwa kimeshika madaraka kwa miaka 46 mfululizo toka kilipozaliwa mwaka 1977 Je! Kwa tathimini ya haraka, chama hiki tunaweza kukifananisha na sehemu gani katika nyumba ama jengo ambalo ndani yake wananchi wanaishi?

Je! Inaweza kufananishwa na jiko, ambapo ndani yake mapishi mbalimbali ya fikra pevu huandaliwa na kupikwa kwa ajili ya wananchi? Je! Tuifananishe na "dining room" ambapo wananchi hujumuika kupata lishe mbalimbali kupitia milo tofauti ya kila siku?

Je! Tuifananishe na "living room" ambapo wananchi wanakaa kwa ajili ya mijadala, mapumziko ya muda, maongezi, kuburudika, ama hata kuonana na wageni mbalimbali? Je! Tunaweza kuifananisha na "bed room" ambapo wananchi waliochoka na pilikapilika za kila siku wanaweza kumpumzika kwa muda mrefu?

Je! Chama hiki unaweza kukifananisha na sehemu ipi katika nyumba zetu?
Bokoharam
 
Afadhali ya choo cha stesheni
 
Back
Top Bottom