ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,436
- 4,756
Hili ni swali mjadala ambalo naamni lityaleta picha ya matarajio na mitazamo ya wananchi kutoka kwa wanasiasa.
Je Uchaguzi Ukiwa Huru na wa Haki na TUME ikawa HURU Kikamilifu Unaweza Kuipa Chadema KURA YAKO?Toa Sababu.
Mimi binafsi siwezi kuipa Chadema KURA yangu hata ya Udiwani.Hii ni kwa sababu Chama Hakijajijenga kama chama ambacho kiko tayari kushika DOLA bali kimejijenga kama kundi la watu waliokata tamaa amba wameamua liwalo na liwe na kama Mbwai na iwe mbwai.Yaani kwao ukimwaga mboga wanamwaga Ugali.
Sasa kuwapa watu wa namna hiyo dhamana ya Kushika DOLA ni RISK ambayo mtu yeyote aliye TIMAMU hawezi ichukua ila mtu aliyekata tamaa na maisha ambaye naye amefikia hatua hiyo ndo anaweza kufanya maamuzi hayo?Swali ni Je ni Watanzania wangapi ambao wamejikatia tamaa na ambao wameshaamua liwalo na liwe na kwamba ukimwaga mboga namwaga ugali?Tujadili kwa utulivu wa kifkra na Mtizamo wangu usizingatiwe.