Je unaweza kuipa CHADEMA kura yako? Toa sababu

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,436
Reaction score
4,756
Hili ni swali mjadala ambalo naamni lityaleta picha ya matarajio na mitazamo ya wananchi kutoka kwa wanasiasa.

Je Uchaguzi Ukiwa Huru na wa Haki na TUME ikawa HURU Kikamilifu Unaweza Kuipa Chadema KURA YAKO?Toa Sababu.

Mimi binafsi siwezi kuipa Chadema KURA yangu hata ya Udiwani.Hii ni kwa sababu Chama Hakijajijenga kama chama ambacho kiko tayari kushika DOLA bali kimejijenga kama kundi la watu waliokata tamaa amba wameamua liwalo na liwe na kama Mbwai na iwe mbwai.Yaani kwao ukimwaga mboga wanamwaga Ugali.

Sasa kuwapa watu wa namna hiyo dhamana ya Kushika DOLA ni RISK ambayo mtu yeyote aliye TIMAMU hawezi ichukua ila mtu aliyekata tamaa na maisha ambaye naye amefikia hatua hiyo ndo anaweza kufanya maamuzi hayo?Swali ni Je ni Watanzania wangapi ambao wamejikatia tamaa na ambao wameshaamua liwalo na liwe na kwamba ukimwaga mboga namwaga ugali?Tujadili kwa utulivu wa kifkra na Mtizamo wangu usizingatiwe.
 
Hiki chama kina vitu vingi sana vya kuweka sawa kabla ya kuja kuomba kura za watanzania..
Chama hakina sura ya utaifa ukatolik,utanganyika na ukanda vina kitafuna hiki chama..
Ubishi na umimi wa Viongozi kutokukubali mawazo mbadala inatia waswas Hawa watu wakiingia madarakani Nini kitatokea..
 
Hata namna ya kuuliza swali huwezi,umeuliza ujinga ukaishia kujijibu wewe mwenyewe mbaya zaidi umewajibia na uliowauliza,ndio akili za Kisisiem hizi
Bila shaka Utakuwa na akili za Kichadema,Umekata tamaa umeamua liwalo na liwe so huna namna inabidi umwage ugali wakimwaga Mboga.Hii Ndio kura ya kwanza ya Chadema.
 
Itoshe tu kusema kuwa huna akili.
 
sacoss au chama cha ushirika hakishoriki chaguzi za kisiasa kwa mujibu wa sheria gentleman 🐒
 
Bila shaka Utakuwa na akili za Kichadema,Umekata tamaa umeamua liwalo na liwe so huna namna inabidi umwage ugali wakimwaga Mboga.Hii Ndio kura ya kwanza ya Chadema.
Naona umeuliza swali, kisha ukaja na matamanio yako. Halafu hapo wanaochangia ni aidha ww mwenyewe kwa id zako, ama wenzako mliojipanga ionekane cdm haiwezi kupata kura. Hakuna chama kinashindwa kuongoza nchi ndugu maana kuongoza nchi ni mipango ya wataalamu na sio porojo za wanasiasa. Kama huamini tuambie rais wa Burkina faso anaongozaje nchi wakati hana ilani, sera, mbunge ama diwani?
 
Wewe unatuuliza swali wakati umeishatoa msimamo wako. Hiyo sio sawa.
 
Binafsi naona sio ccm wala chadema ya sasa wanaostahili kupigiwa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…