Je, unaweza kuishi kwa kula matunda na mbogamboga pekee kila siku?

Je, unaweza kuishi kwa kula matunda na mbogamboga pekee kila siku?

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Wakuu habarini I hope wote ni wazima wa afya.

Wakuu naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu kuishi kwa kula matunda na mbogamboga as normal diet?

Nauliza hivi kwa sababu I have diagnosed kuwa damu yangu ni chafu, ina bacteria wengi sana, pia figo yangu ya kulia imevimba.

Hivyo nahitaji kuhuisha mwili wangu kupitia matunda na mbogamboga tu kama sehemu pekee ya chakula changu.

Age 23, situmii vileo vyovyote.

Karibuni wakuu.
 
Hapana daktari kanipa dawa za siku tano. Lakn nataka kwenda extra mile
Neenda an extra mile again ufanye thorough diagnose upate chazo cha hiyo hali , ni ya kuridhi, mazingira au genes zako ndo tatizo japo hapo lazima uende kwenye hospitali kubwa ujue chazo cha ugonjwa kwasbb umri wako bado
 
Pole mkuu
Inawezekana ila mwili unahitaji nishati utaipata wapi labda ndizi na mihogo pia ule..protein nayo muhimu utaipata wapi napendekeza maharage
 
Back
Top Bottom