Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
I have diagnosed...
Nashukuru sanaI have been diagnosed with.....
Nitakupa link ya group moja la mambo ya lishe na kujitibu kwa kutumia mbogamboga na matunda tu. Naamini litakusaidia ila kwa sasa fuata masharti ya daktari bila kukosea. Utakuwa OK mkuu na Mungu Akusaidie ππΏ
Neenda an extra mile again ufanye thorough diagnose upate chazo cha hiyo hali , ni ya kuridhi, mazingira au genes zako ndo tatizo japo hapo lazima uende kwenye hospitali kubwa ujue chazo cha ugonjwa kwasbb umri wako badoHapana daktari kanipa dawa za siku tano. Lakn nataka kwenda extra mile