Way back nilikua nasafiri sana na jamaa zangu kujitafutia riziki .....
Tulikua tunashare room kupunguza gharama sasa ulikua ukiwa na show yako unatoa gharama ya chumba cha pamoja afu unachukua chumba kingine kwa gharama zako.
Tukio moja nakumbuka tulikua Chimala, muhudumu alimkubali sana mwana basi tulikula monde mpaka baa inafungwa kimbembe kwenda kulala mwamba ana ata mia ya urithi ikabid alet rum..... Mi nkajifanya nakoroma, wakaanza shughuli pale miguno kama yote, m sina hali sasa yule mjinga sijui kutaka kunionyeshea, sijui ni tungi akawa ashuki nkafinya sana... Baada yakushuka sababu ni usku nkaanza kumpapasa nkajua demu kumbe nimegusa kalio la msela, Daah iyo shtuka yake nilitokwa na cheko wote tukacheka, tukamwelekeza bibie, bibie nae mzungu basi ikawa ni kunyeshana ufundi na jamaa angu siku 2...... Yule shem darling aliinjoy sana company yetu.