Je, unaweza kumjua shoga kwa kumuangalia?

Je, unaweza kumjua shoga kwa kumuangalia?

Wengine wabeba vyuma lakini hawana marinda.....diamond anapenda sana kuchomekea vibwagizo vya kichoko, huyu atakuwa anawabamiza!
 
Sasa mkuu unashindwa hata namtoto mchanga akipelekewa ziwa ananyonya na kazaliwa hapohapo we ukiona Mwanaume anatabia zakike ujue Huyo Ni Shoga
 
Mi kwa text tu kwa maneno kama haya

..tyu
..xaxa
..kudamshi
..pouwa
..kwa nini jaman ni kile ki imoji
..kuna hawa wanaweka status 30
Bila maana yeyote bora uweke reasonable things

Sory kama nimekukera ...
sawa tyu ba swalehe c tyunaendelea kujidamshi xaxa ucxahau kuleta pichu ya swalehe
pouwa mida ba swalehe
 
Plz kama unayajua ni pm unipe orodha yao maana hat stak achangie chochote changu na mm pia sitak kuchangia upumbav wake
hahah mkuu weka tu umakini kwenye kusoma comments za watu utayajua tu haihitaji masters wala pHd
 
Kuna huyo mmoja yani sikujua kabisa kama ni shoga maana hakuwa na vitabia vya kishoga. Siku moja amelewa akaniambia kuwa anahamu ya kufumuliwa nimtafutie mtu akamfumue nilimshangaa sana ikabd nimuulize hiyo tabia kaanza lini ndo kuanza kunipa Mkasa.
Ukimuona huez jua ni shoga yani ni very gentleman na anamiliki kampuni fulan hv kubwa tu hapa nchini.
 
Habari za wikiend wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna brother mmoja alikua ni Msouth alikuja sehemu moja ya starehe (Bar) na masister kama watano hivi (Wasouth wenzake). Sasa ikawa kuna mziki unagongwa sanaaa.
Basi wale wadada walikua wamekaa tu wakisikiliza mziki jinsi unavodunda huku wakishushia moja moto moja baridi.

Kwa bahati nzuri yule brother akawa anakatika kama dem vile, yaani afadhali ya dem hawakuwa wanacheza walikua wanatikisika tu kwenye viti vyao. Sasa nikawa nimekaa na majamaa kwenye meza yao huku wakinywa na mie nikiwasindikiza kwa stori maana mimi situmii.

Sasa nikashangaa kuona mlevi mmoja kati ya wale niliokaa nao akinambia muangalie vizuri yule jamaa itakua anatoa ndogo. "Haiwezekani mwanaume mzima kukatika zaidi ya ya wale wanawake yule atakua shoga".

Sasa mimi nilishangaa kunambia vile na nikajiuliza kajuaje kama atakua vile au keshawahi kumjaribu? Basi nikaacha masuala ya watu.. Ghafla akaja rafiki yangu akanambia unamuona huyo jamaa? "Huyo no shoga kama unamtaka hapo ukienda anakupa dola 600" astaghafiru llah nikasema hii laana isinikute yaani ninunue moto kwa dola mia sita kwa njaa gani niliyonayo? Nilimuuliza yule rafiki yangu.

Sasa hapo nikatafakari yale maneno ya yule mlevi nikaanza kujiuliza sasa shoga ana dalili gani mpaka anajulikan

Msafi ,
 
Kuna huyo mmoja yani sikujua kabisa kama ni shoga maana hakuwa na vitabia vya kishoga. Siku moja amelewa akaniambia kuwa anahamu ya kufumuliwa nimtafutie mtu akamfumue nilimshangaa sana ikabd nimuulize hiyo tabia kaanza lini ndo kuanza kunipa Mkasa.
Ukimuona huez jua ni shoga yani ni very gentleman na anamiliki kampuni fulan hv kubwa tu hapa nchini.
Kama aliweza funguka basi ulimfumua na alikua ana kuwinda siku zote.
 
Back
Top Bottom