Je, unaweza kumlipia mzazi (baba yako) wako mahari?

Utakuwa unamuoa mama ako
Boss swala la kulipa mahali sio kuoa ... ndo maana unawez ukawez hata ww kumlipia mahar mtu mwngne ili aoe swala la ndoa linakamilika kwa uwepo wa wali wa bibi harus ( wenye idhini ya kumuozesha bi harusi , bi harusi mwnyw ( aliyelidhia) , muoaji ( babu harusi , mfungishaji ndoa ( Sheikh) na mashaidi bc wakipatkn watu ao ndoa tyal.
 
Hao ndio wale watu wanadai mpaka maiti, huwezi kuishi na mwanamke mwenye roho ya hivi kwenye ndoa, ni chake chake, usitegemee kama atatumia hata mia yake kwa matumizi ya familia.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.anadai ni HAKI yake ..ndo maana vipigo na manyanyaso hayaishi kwa wanawake kwa akili hizi...
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.anadai ni HAKI yake ..ndo maana vipigo na manyanyaso hayaishi kwa wanawake kwa akili hizi...
Huyo ni bidhaa, Sasa bidhaa yoyote lazima uitreat hivyo kwa sababu yeye mwenyewe anajuwa amenunuliwa, na ukinunuliwa huwezi kumpangia mnunuzi.
 
Mkuu, suala la mahari haiishi mimi niliona linakuwa mzigo kwangu, nilitafuta kiasi chote kilichobaki nikalipa chote, sikutaka kuendelea kusumbuliwa (and I was just thirty by then). Kwa sasa maisha yangu yako super kabisa, kwa ajili ya support wakiniomba sasa hivi kama ninacho nawapa kama sina nawaambia, hamna ule usumbufu tena!
 
Hiyo si mahari unamlipia, ni pesa ya dharula bila kujali inaenda kufanya kazi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…