Je, unaweza kumsaidia shemejio dawa za kuongeza nguvu za kiume?

Je, unaweza kumsaidia shemejio dawa za kuongeza nguvu za kiume?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Kama kichwa kinavyoeleza. Nazungumzia Shemeji wa kiume au baba yako wa kambo aliyemuoa mama yako mzazi.

Au mshikaji wako anayetoka na dada yako ukamsaidia viagra au vumbi la congo.

Na wewe una dawa ya ukweli ya nguvu za kiume na unajua mtu akipiga hiyo dawa mwanamke ataona cha moto. Je, utamsaidia shemeji yako au baba ako wa kambo au mzazi?
 
Hilo Ni Tatitzo Kama Yalivo Mengine Hivo Akihtaji Msaada Ka Upo Nampatia Kwani Kipya Nini Hapo
 
Back
Top Bottom