Kutomlipa Man water haimaanishi Hilo million 4 Hana Kama ana uwezo wakulipa video zake anashindwa VIP hiyo hela?Haya tuambie hiyo negotion iliyofanyika Kati ya diamond na huyo jamaa?Ni kujitoa akili tu kubisha mafanikio ya diamond Me nakushauri tu acha ujuajihata Ali KIba anamiliki BMW X6 lakini ile MIL 4 ya MAN WATER ilimteteresha.................maisha ya masuperstar wengi ni ISTA....ila ukija kwenye uhalisia mkuu hata mkulima aweza kuwa na afadhali natamani nikupe namba ya RAYVANNY uongee naye private na awe muwazi kwako nadhani utaacha kuongea pumba
Diamond bado hajailipa hela anayodaiwa wamefanya negotiation tu...
Teh, Joslin nilisikia siku hizi ni muuza chips pale Sinza sijui kweli.Wapi Saida Karoli? Mr. Nice? Feruz? 20%? Z-Anto? Matonya? Marlaw? Afande? Daz Baba? OTen? Joslin? Caz T? Zay B? Sister P? Wagosi? Inspector? Dudubaya? Mwinjuma Muumin? Ally Choki? Badi Bakule? Banza Stone(kabla hajafa)? Ngwea (kabla hajafa)? Bambo? Norah? Kibakuli? Matumaini? Sinta? Nina?Johari? Na list ndefu inaendelea.... Hao ni baadhi tu ya wasanii waliowahi kufanya vizuri, je maisha yao kwasasa yakoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukweli, ule usiriaz wa Vannesa umepunguaNikisikia haya maneno "Vanessa now hayuko serious na music Yuko bize na mapenzi" naumia Zaid ya muhusika mwenyewe. Vee Yuko on [emoji91][emoji91][emoji91] na bado anatamba haswaaa hawa wengne watasubiri, japo kasema kajipa likizo maan miak 13 ya Muzik wake hajawah kuwa off,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] Inawezekana kweli, mwenzie QJay kuna muda nilikuwa namuona Bukoba hana mbele wala nyuma, inasikitisha sana kuona big names za kipindi hicho tunakua leo hii mtaani wanaonekana kama vibaka, n' nobody cares abt themTeh, Joslin nilisikia siku hizi ni muuza chips pale Sinza sijui kweli.
Wewe unajua maisha ya wasanii wote?Je kati ya maelfu ya wasanii waliowahi kufanya vizuri, tunaweza kuwa na listi ya wasanii angalau hata 200 wa kujivunia kwamba wameweza kusimama vizuri kimaisha kupitia sanaa (achana na hawa wadangaji[emoji1])
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wachache wanaojielewaKama mtoto genius mwache awe msanii..FA ana masters..Nick wa pili masters..Maua Bacherol..na wengine kibao wana madigriii
Mr. Nice ni kati ya wachache waliobahatika kutoboa kupitia muziki, ni upumbavu wake tu ndo umemfanya kuwa hapo alipo leoWewe unajua maisha ya wasanii wote?
Unajua wangekuwa na maisha ya namna gani kama wasingefanya saana.
Mr. Nice mbona hana maisha ya taabu saana. Kuna vijana wa kitanzania wenye umri sawa na Mr. Nice wanamaisha ya hovyo saana.
Maisha hayapo hivyo... sio upumbavu ni maisha ndivyo yalivyo.Mr. Nice ni kati ya wachache waliobahatika kutoboa kupitia muziki, ni upumbavu wake tu ndo umemfanya kuwa hapo alipo leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure hata mbele kufulia kupo ila nadhani kwa nchi zetu hizi wanafulia vibaya zaidi. Nakumbuka mbele kuna watu kama Jarule, Sisqo, Mase walitisha sana miaka ya 2000 mwanzoni na wakapotea mazimaMaisha ya wasanii ni magamu sana sio bongo tu hata mbele , starehe nyingi matumizi yanazidi kipato bila kua na management nzuri ya pesa mwisho hua ni majuto
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini wao maisha yakiwapiga wanaumia zaidi kuliko sisi watu wa kawaida. Raha ya ustaa uwe na hela, yaani staa ukigombea daladala unanyooshewa kidole, ukipanda boda/Bajaj unanyooshewa kidole, ukila kwa mamantilie shida, ukifungua kibanda cha chips unaambiwa umefulia[emoji1], that's why wanaingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kwakuwa wanakuwa na stress nyingi pindi mambo yanapowaendea kombo, tofauti na sisi watu wa kawaida hata ukifulia sio big deal zaidi ya kuhangaika na familia yako. Simshauri mwanangu kuwa msanii aisee...Maisha hayapo hivyo... sio upumbavu ni maisha ndivyo yalivyo.
Mimi kwangu kila mmoja atafute riziki kwa njia anayoona inamfurahisha.
Unaona hawa kina dogo janja ni madogo wa kitaa tu kama unavyowaona wengine wanaoshinda vijiweni na kumoka wida.
Wameparangana mwisho life limekaa kidogo wanaweza kubadilisha mboga...kuna graduates wengi tu mitaani pamoja na kusoma miaka 16 darasani ila hawafikii maisha yao.
Acha waishi.....acha kila mmoja atafute riziki kwa njia anayoona inamfaa.
Maisha usiyatukane yanaweza kukuaibisha popote na katika umri wowote.
Mistari bado unaandika, vipi kuhusu kuchana bado unachana mkuu. maji yanafuata mkondo, mwanao akiwa msanii tutasema amerithi kwa baba dabyMaisha hayapo hivyo... sio upumbavu ni maisha ndivyo yalivyo.
Mimi kwangu kila mmoja atafute riziki kwa njia anayoona inamfurahisha.
Unaona hawa kina dogo janja ni madogo wa kitaa tu kama unavyowaona wengine wanaoshinda vijiweni na kumoka wida.
Wameparangana mwisho life limekaa kidogo wanaweza kubadilisha mboga...kuna graduates wengi tu mitaani pamoja na kusoma miaka 16 darasani ila hawafikii maisha yao.
Acha waishi.....acha kila mmoja atafute riziki kwa njia anayoona inamfaa.
Maisha usiyatukane yanaweza kukuaibisha popote na katika umri wowote.
pumbavuuuu.............kumbe nabishana na bwege........kesi ya tangu mwaka jana na mpk leo iko mahakamani na bado unaniongelea utumboUlivyosema una connection na hawa wasanii nikajua utakuwa mjanja, ila kupitia huu uharo ulioandika hapa, nimegundua kuw wew ni shabiki wa kawaida tu kama wengne weng tu. Unakuja na hbr za udaku kutok blogs uchawara znazo andika hbr kuhusu mastaa zisizo na fact ili kuboost business zao.Kwahy unatak kusema baada ya Mond kushndw kulipia kodi, ameshtakiw wapi.??? au ndo unataka kutuaminisha kwmb jamaa kasamehewa deni la 400M.?? na kama hakuna kesi, tunaamin vip kuw jamaa hakulipa.??? Huo mchanganuo wa show ulioweka hapo ni utumbo mtupu.
Mie huwa nafanya kama namna ya kujifurahisha mkuu...kwangu ni starehe. Nilijikuta nafanya maana ndugu yangu wa karibu yupo humo.Mistari bado unaandika, vipi kuhusu kuchana bado unachana mkuu. maji yanafuata mkondo, mwanao akiwa msanii tutasema amerithi kwa baba daby
Sent using Jamii Forums mobile app
nani kasema DIAMOND hana mafanikio mimi pia ni mmojawapo niliyeweka hela zangu kwenye moja ya project zakeKutomlipa Man water haimaanishi Hilo million 4 Hana Kama ana uwezo wakulipa video zake anashindwa VIP hiyo hela?Haya tuambie hiyo negotion iliyofanyika Kati ya diamond na huyo jamaa?Ni kujitoa akili tu kubisha mafanikio ya diamond Me nakushauri tu acha ujuaji
Jifunze kuficha upumbavu wako kijana.Acha kuja hapa na habari za udaku kutoka blog uchwara ambazo huandika hbr za kusadikika zisizo kuw na fact kuhusu mastaa ili kukuza brand.Jiulize...Ikiwa Mond anadaiwa kiasi cha 400M, umeshaskia kesi yoyote mahakamani.?? na kama hakuna kesi tutaamini vipi kuwa anadaiwa kweli..?? au ndo unataka tuamini kua huenda anaedai kaamua kusamehe kiasi hicho cha fedha tena kwa mtu anaedai kuwa ana hela..??Kaa utulie.............assume unamepanga nyumba na una hela mpaka za kuajiri watu waweza daiwa pango la nyumba unayoishi ya zaidi ya mwRAYVANNY naye kafukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa anaishi kwa kushindwa kulip
wekeza kwenye music industry kwanza...halafu tuje tuongee pumba vizuriJifunze kuficha upumbavu wako kijana.Acha kuja hapa na habari za udaku kutoka blog uchwara ambazo huandika hbr za kusadikika zisizo kuw na fact kuhusu mastaa ili kukuza brand.Jiulize...Ikiwa Mond anadaiwa kiasi cha 400M, umeshaskia kesi yoyote mahakamani.?? na kama hakuna kesi tutaamini vipi kuwa anadaiwa kweli..?? au ndo unataka tuamini kua huenda anaedai kaamua kusamehe kiasi hicho cha fedha tena kwa mtu anaedai kuwa ana hela..??
Kuhusu Konde, amini kwamba hakuna nyumba iliyouzwa, ile ni business strategy ili kutafta huruma ya mashabiki.?? Rayvanny kafukuzwa kaenda wapi.?? acha uongo vanny bd yupo pale. Kuhusu huo mchanganuo wa fedha ulioweka hapo, labd ni wa biashara ya karanga au maandazi, mipango ya show ya mond haiko kipumbav hvy.
kwani wasanii waliojiandikisha BASATA wako wangapi???