Je, unaweza kumshauri mwanao kuwa msanii?


Na yule dada wa kuitwa "Nyamayao" sijui wako wapi hawa watu. Tasnia ya burudani Tanzania haiko fair kabisa.
 
Ndio ninaweza
 
Utetezi dhaifu sana.

Wakina Chris Brown Rihanna Lil Wayne wamewika duniani bila hata kupitia hayo ma youtube sijui instagram
 
Mwongoze mwanao katika njia impasayo hataiaha hata atakapokuwa mzee.
 
Utetezi dhaifu sana.

Wakina Chris Brown Rihanna Lil Wayne wamewika duniani bila hata kupitia hayo ma youtube sijui instagram
Sio kweli,

Unapozungumzia Chris Brown, Rihanna, Lil wayne and the like jua tayari umepanda daraja, hapo unakua unazungumzia FIRST CLASS ARTISTS.

Chukua hii, Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam automaticaly ndie mkuu wa wakuu wote wa mikoa.

Turudi kwenye mada.
Msanii ambae anawika first world country atashindwa vipi kuwika third world country?(makonda akashindwe kutambulika katavi?)

Hao uliowataja haina haja hata ya kujitangaza kujulikana kwa sababu sisi tunawahitaji kuliko wao wanavyotuhitaji.

Hit song ya marekani ni lazima iwe hit song worldwide, je hitsong ya tanzania inaweza kuwa hitsong Us?(jamaa wana miiko na sheria/hili ni somo lingine pana sana)

Ukubali au ukatae, mitandao ya kijamii/ukuaji wa teknolojia ndio kitu pekee kilichosaidia kwa asilimia kubwa sana kufungua mipaka yetu kuliko kitu chochote, ndio kitu kilichosaidia wasanii wetu kuanza kuonja matunda ya sanaa zao mf malipo youtube n.k
 
Na agree ku disagree
 
Nadhani tatizo linakuwa ni kutokujipanga tu,kama wataelewa kuna maisha baada ya ustaa...na hakika hata akifirisikaje lazima atakuwa na usafiri,nyumba hata biashara ndogo ya kumuingizia kipato.Cha muhimu achukulie hali ya ustaa kama kazi na pia ajue kazi ina mwisho,kwa hiyo ajipange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…