upo sahihi. tafuta mtaalamu akuandalie andiko la mradi, Ikikamilika na ukajiridshisha iwasilishe TANZANIA FOREST FUND. Mfuko huu upo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Unatoa ruzuku ya uhifadhi wa maliasili ya misitu kwa watu binafsi, taasisi binafsi, NGO's na taasisi za Serikali. Shughuli zinazohusika na ruzuku hii ni pamoja na upandaji na utunzaji wa miti, uanishaji wa mipaka ya shamba la miti, ufugaji wa nyuki katika shamba lako la miti na misitu ya asili n.kMwanzoni kulikuwa na uvumi kuwa ukiwa na shamba la mitiki na ikifikia miaka 5 unaweza kupata mkopo wa usimamizi wa shamba la mitiki mpaka pale utakapo vuna.
Je? Kuna aliyefanikiwa kupata mkopo huu