Je, unaweza kupata Mkopo kupitia shamba la mitiki?

Je, unaweza kupata Mkopo kupitia shamba la mitiki?

jaytravo

Member
Joined
Dec 4, 2018
Posts
42
Reaction score
23
Habari ndugu zangu leo nimekuja na maada ya kuhusu miti ya mitiki.

Je, ni nani aliyewahi kuuza miti ya mitiki au aliye sikia kuhusu wanunuzi ni wakinani Nazani wengi tunatamani kujua ilo.
 
Mwanzoni kulikuwa na uvumi kuwa ukiwa na shamba la mitiki na ikifikia miaka 5 unaweza kupata mkopo wa usimamizi wa shamba la mitiki mpaka pale utakapo vuna.

Je? Kuna aliyefanikiwa kupata mkopo huu
 
Mwanzoni kulikuwa na uvumi kuwa ukiwa na shamba la mitiki na ikifikia miaka 5 unaweza kupata mkopo wa usimamizi wa shamba la mitiki mpaka pale utakapo vuna.

Je? Kuna aliyefanikiwa kupata mkopo huu
upo sahihi. tafuta mtaalamu akuandalie andiko la mradi, Ikikamilika na ukajiridshisha iwasilishe TANZANIA FOREST FUND. Mfuko huu upo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Unatoa ruzuku ya uhifadhi wa maliasili ya misitu kwa watu binafsi, taasisi binafsi, NGO's na taasisi za Serikali. Shughuli zinazohusika na ruzuku hii ni pamoja na upandaji na utunzaji wa miti, uanishaji wa mipaka ya shamba la miti, ufugaji wa nyuki katika shamba lako la miti na misitu ya asili n.k
 
Post muhimu imekosa watu.

Mitiki ina mbao nzuri sana. Mche mmoja unauzwa Tsh 1,000/=>.

Kwenye heka moja unaweza ukapanda mitiki 1000+.

Kwa mkoa wa Pwani gharama ya kuchimba shimo moja la mtiki ni 500. Mashimo yake ni madogo kwa sababu mitiki hupandwa ikiwa midogo na haina mambo mengi katika upandaji.
 
Back
Top Bottom