Je, unaweza kusomea Udaktari kwa kutumia cheti cha kidato cha nne?

Je, unaweza kusomea Udaktari kwa kutumia cheti cha kidato cha nne?

Joined
Jun 5, 2019
Posts
55
Reaction score
34
Jamani me ninauliza kama inawezekana mtu kusomea udaktari kwa kutumia cheti cha form four (yaan kuanzia diploma) na baadae kupata udaktari bila usumbufu.

Na kama inawazekana anatakiwa asomee course gani huyo mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE
Kama credts zake haziruhusu basi anaweza kuanza certificate.
 
Ukumbuke kuwa Uhalisia Clinical Officer sio Madaktari (Physician). Wako katika kada ya Non-Physician Clinician. Ufaulu wako ukiwa CO unaweza kukupa nafasi ya kujiendeleza kusoma hadi kuwa daktari.
 
Jamani me ninauliz kam inawezekana mtu kusomea udaktari kwakutumia chet cha form four(yaan kuanzia diploma) na baadae kupata udaktari bila usumbufu na Kama inawazekana anatakiwa asomee course gani huyo mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio inawezekana. Piga diploma ya clinical officer pata GPA Nzuri itakusaidia kwenye ushindani. Hata kwa kozi kama nursing nadhani ukipiga diploma unaweza kusomea udaktari degree(nadhani coz nursing ina msingu mzuri wa kuja kuwa daktari baadae).

Hata health laboratory sciences kwa chuo kimoja nakifahamu cha private ukisoma diploma unapiga vizuri degree ya Medical doctor (MD) bila tatizo na hi nimeiona na watu nawafahamu sio stori ya kuhadithiwa.sijajua kwa vyuo vya serikali mkuu lakini
 
Ahh mkuu Nursing ni nursing mpaka PhD lab ni lab pia huwez soma diploma ya lab uje kusoma nursing, pharmacy au md degree hapana halikadhalika huwez soma nursing diploma uje usome degree md NO.
 
Ahh mkuu Nursing ni nursing mpaka PhD lab ni lab pia huwez soma diploma ya lab uje kusoma nursing, pharmacy au md degree hapana halikadhalika huwez soma nursing diploma uje usome degree md NO.
Mkuu mimi ninafahamu mtu mwenye diploma ya lab kwa sasa anapiga MD chuo cha private hapahapa nchini ase sio kwamba nabahatisha au nakisia.
 
Back
Top Bottom