Je, unaweza kusomea Udaktari kwa kutumia cheti cha kidato cha nne?

Je, unaweza kusomea Udaktari kwa kutumia cheti cha kidato cha nne?

Ko we unasema nisome koz gan sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka kuwa daktari anza clinical medicine.. Diploma, degree gpa 3.5 unasoma Md safi na mkopo unapata

Ila ukitaka nursing basi ni nursing hadi phd
Pharmacy ni pharmacy hadi phd
Lab ni lab hadi phd,

Kwahyo kama malengo ni md soma clinical medicine
 
NIBORA UENDE ADVANCE COZ MATOKEO YAKO YANASHAWISHI''ila kama matokeo haya yana reflect your ability'' WENGI WANAPENDA SHORTCUT COZ WANAWASIWASI NA UWEZO WAO '' FOR ME NENDA A LEVEL MBELEN KUNAFURSA AMBAZO ZITAKULAZIMISHA UWE NA ADVANCE
 
Ukumbuke kuwa Uhalisia Clinical Officer sio Madaktari (Physician). Wako katika kada ya Non-Physician Clinician. Ufaulu wako ukiwa CO unaweza kukupa nafasi ya kujiendeleza kusoma hadi kuwa daktari.
Daktari daktari tu.

Vimajina majina ni ufahali tu wa kipimbavu wa Kujimwambafai, kujionesha una tofauti na watu wengine.

Mwalimu awe wa nursary, primary, secondary au chuo ni mwalimu tu.
 
NIBORA UENDE ADVANCE COZ MATOKEO YAKO YANASHAWISHI''ila kama matokeo haya yana reflect your ability'' WENGI WANAPENDA SHORTCUT COZ WANAWASIWASI NA UWEZO WAO '' FOR ME NENDA A LEVEL MBELEN KUNAFURSA AMBAZO ZITAKULAZIMISHA UWE NA ADVANCE
Yawezekana ameshaenda, AMETAGA.
 
Daktari daktari tu.

Vimajina majina ni ufahali tu wa kipimbavu wa Kujimwambafai, kujionesha una tofauti na watu wengine.

Mwalimu awe wa nursary, primary, secondary au chuo ni mwalimu tu.
Bila shaka hauko kwenye fani ya afya na kama uko basi ni CO huwezi sema vi majina tu na kujimwambafy

yan mtu anajipa jina tu kua ni neurosurgeon au cardiothoracic surgeon au opthalmologist au hata Oncologist????? kama daktari ni daktari basi mwambie CO akafanye tu hata kidney transplant kwa kusaidiana na interventional radiologist

Jifunze kufahamu daktari mzuri ni yule anaye fahamu na kutambua kua mwenzake kamzidi hivyo ana uelewa mkibwa juu ya kitu flan na itakua rahisi kuomba ushauri kwake (consult) ili lengo mgonjwa apate huduma nzuri sio kuongea kwa urahisi tu kua daktari ni daktari neurosurgeon anaspend atleast miaka 11 yaan 5yrs MD plus 6 yrs kuspecialize kusoma then unasema wote wanafanana😳
 
Jamani me ninauliza kama inawezekana mtu kusomea udaktari kwa kutumia cheti cha form four (yaan kuanzia diploma) na baadae kupata udaktari bila usumbufu.

Na kama inawazekana anatakiwa asomee course gani huyo mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kikubwa O level masomo ya PCB uwe umepiga minimum Alama C.
Then unaanza zako cheti na diploma kwa kozi ya Clinical Medicine hapo medical doctor uhakika
 
Ndio inawezekana. Piga diploma ya clinical officer pata GPA Nzuri itakusaidia kwenye ushindani. Hata kwa kozi kama nursing nadhani ukipiga diploma unaweza kusomea udaktari degree(nadhani coz nursing ina msingu mzuri wa kuja kuwa daktari baadae).

Hata health laboratory sciences kwa chuo kimoja nakifahamu cha private ukisoma diploma unapiga vizuri degree ya Medical doctor (MD) bila tatizo na hi nimeiona na watu nawafahamu sio stori ya kuhadithiwa.sijajua kwa vyuo vya serikali mkuu lakini
Chuo Gani hiko?
 
Endelea kumdanganya mwenzako, akifata ushauri wako ameumia. Labda kwa vyuo nje ya nchi
 
Back
Top Bottom