injinia muha jv
Member
- Jun 5, 2019
- 55
- 34
Ana "A" ya biology, "B" ya chemistry na "C" ya physics apo vipi mkuuDIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE
Kama credts zake haziruhusu basi anaweza kuanza certificate.
Apo sijakuelew kdg mkuu naomb unieleweshe vzurUkumbuke kuwa Uhalisia Clinical Officer sio Madaktari (Physician). Wako katika kada ya Non-Physician Clinician. Ufaulu wako ukiwa CO unaweza kukupa nafasi ya kujiendeleza kusoma hadi kuwa daktari.
Kama hizi ni za olevel mshauri aende advance, atakuwa vizuri sana kama atapanua uelewa kwanza wa mambo mengi.Ana "A" ya biology, "B" ya chemistry na "C" ya physics apo vipi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana "A" ya biology, "B" ya chemistry na "C" ya physics apo vipi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio inawezekana. Piga diploma ya clinical officer pata GPA Nzuri itakusaidia kwenye ushindani. Hata kwa kozi kama nursing nadhani ukipiga diploma unaweza kusomea udaktari degree(nadhani coz nursing ina msingu mzuri wa kuja kuwa daktari baadae).Jamani me ninauliz kam inawezekana mtu kusomea udaktari kwakutumia chet cha form four(yaan kuanzia diploma) na baadae kupata udaktari bila usumbufu na Kama inawazekana anatakiwa asomee course gani huyo mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kwa kutumia icho chet cha form four na icho chuo kinaitwaje na ada yake ni ngapi mkuuKama uchumi upo vizuri nenda kasomee MD kwenye vyuo vya Kenya
Ingia google utafute Kenyata University uone kama kuna fursa,hizo alama zinakubali kabisa.Inawezekana kwa kutumia icho chet cha form four na icho chuo kinaitwaje na adayake ni ngapi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahh mkuu Nursing ni nursing mpaka PhD lab ni lab pia huwez soma diploma ya lab uje kusoma nursing, pharmacy au md degree hapana halikadhalika huwez soma nursing diploma uje usome degree md NO.Ndio inawezekana. Piga diploma ya clinical officer pata GPA Nzuri itakusaidia kwenye ushindani. Hata kwa kozi kama nursing nadhani ukipiga diploma unaweza kusomea udaktari degree(nadhani coz nursing ina msingu mzuri wa kuja kuwa daktari baadae).
Hata health laboratory sciences kwa chuo kimoja nakifahamu cha private ukisoma diploma unapiga vizuri degree ya Medical doctor (MD) bila tatizo na hi nimeiona na watu nawafahamu sio stori ya kuhadithiwa.sijajua kwa vyuo vya serikali mkuu lakini
Yeye anataka kupata kazi mapema, hiyo njia alichagua Ni sahihiKama hizi ni za olevel mshauri aende advance, atakuwa vizuri sana kama atapanua uelewa kwanza wa mambo mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ninafahamu mtu mwenye diploma ya lab kwa sasa anapiga MD chuo cha private hapahapa nchini ase sio kwamba nabahatisha au nakisia.Ahh mkuu Nursing ni nursing mpaka PhD lab ni lab pia huwez soma diploma ya lab uje kusoma nursing, pharmacy au md degree hapana halikadhalika huwez soma nursing diploma uje usome degree md NO.