Je unaweza kutahiriwa ukiwa na miaka zaidi ya 45?

Nikekete ili iweje, pamoja na madhara yooote bado watu wanakeketa pole zao....
Mwanaume kukaa na govi uchafu tu na risk ya kupata magonjwa
Unakeketa ili kutimiza mila zetu! Wanaume wengine hawaoi mwanamke hajakeketwa please! kama kutahili wanavyotimiza mila! Lakini Ulaya hawatahili na hawana magonjwa. be scientific please. Sema hizi ni mila za watu wanataka kuzifanya ziwe universal.
 
Hizo mila wabaki nazo tu wenye mila zao, mwanamke akikeketwa pababaki kama korongo....
Hivi sababu ya kukeketa huwa ni nini haswa? Achana na kutimiza tu mila kwanini wanakatwa?
 
Kuna mabinti wanaopenda mwanaume mwenye govi mkuu na hufurahia sana mapenzi,sio lazima wote tutahiriwe, experience the diference
 
Hizo mila wabaki nazo tu wenye mila zao, mwanamke akikeketwa pababaki kama korongo....
Hivi sababu ya kukeketa huwa ni nini haswa? Achana na kutimiza tu mila kwanini wanakatwa?
Salt, sijui kwa nini wanakeketa, lakini ni mila; nasikia wanakata kinembe kufisha hamu ya kufanya mapenzi ili mtoto wa kike asizini????(usinielewe vibaya, siungi mkono kukekektwa), ila nasema kutahili kuna nasaba kubwa na mila na wala sio biological drive as it is now propagated. Wao kutahili wanataka male organ iingie kwa urahisi kwenye female sex organ and not otherwise. Sawa kuna kutunza uchafu lakini that is how GOD??? made it!
 
unaweza kutahiriwa ukiwa na umri huo ila wale walio kukimbia kwa sababu ya gov hautawapata tena watajua bado unalo
 
Kuna mabinti wanaopenda mwanaume mwenye govi mkuu na hufurahia sana mapenzi,sio lazima wote tutahiriwe, experience the diference
Na sensitivity ya glans iliyotupu na iliyofunikwa na ngozi are quite different indeed! Glans iliyotupu inakuwa sio sensitive at all with friction anyway!
 
Okay, sasa hao wakeketaji kama nia yao ni mabinti wasifanye dunia itaongezekaje sasa
 
Na senstivity ya glans iliyotupu na iliyofunikwa na ngozi are qiute different indeed! Glans iliyotupu inakuwa sio sensitive at all with friction anyway!
Wewe umebobe kwenye ngono sikuwezi......
 
Okay, sasa hao wakeketaji kama nia yao ni mabinti wasifanye dunia itaongezekaje sasa
ukikeketwa ni kwamba unakuwa hauna hisia za mapenz kabsa kwa maana hiyo hauwez kucheat sasa ukiwa na mume unakuwa wafanya kumridhsha mume kisa umeolewa na ukiwa siku nzur mimba wapata unaongeza familia
 
Okay, sasa hao wakeketaji kama nia yao ni mabinti wasifanye dunia itaongezekaje sasa
Wafanye mapenzi pale wanaporuhusiwa na mila zao for reproduction only (perpetuation of the species) and not pleasure.
(for your information Salt, -orbiter: sensitivity ya glans iliyotupu na iliyofunikwa na ngozi are quite different indeed! Glans iliyotupu inakuwa sio sensitive when friction is applied during sex anyway!-kwa hiyo kutahili ni kuua nature)
 
Mwache atoe huo mzoga unataka afe nao ? Kiafya sio nzuri alitakiwa alitoe akiwa 10 yrs magonjwa mengi hasa ukimwi yanaingia kirahisi ukiwa nalo,pia ni uchafu
 
So nawewe haujaua nature eeeh
 
ukikeketwa ni kwamba unakuwa hauna hisia za mapenz kabsa kwa maana hiyo hauwez kucheat sasa ukiwa na mume unakuwa wafanya kumridhsha mume kisa umeolewa na ukiwa siku nzur mimba wapata unaongeza familia
Mmmh kazi ipo
 
Well said mkuu!!
 
Unaweza kutahiriwa,
tatizo ni kuwa kutokana na umri unatakiwa usiwe na mawazo ya
wanawake hadi upone; mishipa ikisimama kidonda kinachelewa kupona;
 
Mwache atoe huo mzoga unataka afe nao ? Kiafya sio nzuri alitakiwa alitoe akiwa 10 yrs magonjwa mengi hasa ukimwi yanaingia kirahisi ukiwa nalo,pia ni uchafu
hatapata raha ya tendo tena na silaha itapungua urefu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…