CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Unakeketa ili kutimiza mila zetu! Wanaume wengine hawaoi mwanamke hajakeketwa please! kama kutahili wanavyotimiza mila! Lakini Ulaya hawatahili na hawana magonjwa. be scientific please. Sema hizi ni mila za watu wanataka kuzifanya ziwe universal.Nikekete ili iweje, pamoja na madhara yooote bado watu wanakeketa pole zao....
Mwanaume kukaa na govi uchafu tu na risk ya kupata magonjwa