Je unaweza kutumia million 1 hadi 4 kwa wiki kwenye mihezo kama BIKO ili ashinde

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Nimajibu ya mmoja wa washindi wa BIKO niliyopata kwa JINA namuifadhi, kwamba ili ushinde unabidi ucheze kwa kiasi kikubwa , yeye alikuwa anacheza mpaka millioni 4 kwanzia Jumapili hadi Jumatano, alafu anacheza millione kazaa tena kuanzia Alhamisi mpaka JUmamosi.

??????? KULIKONI????
 
Wekeza kwenye FOREX mkuu. [emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo mkuu wale wanaosema nimecheza kwa buku nikapata M 50 HUWA wanatuzuga...

Mkuu ila Milioni 4 kisa BIKO tu ujue parefu aisee
 
The more u invest the more ull get.... Joseeverest samahani
 
hiyo michezo ni upatu, hela inazunguka na nyinyi wenyewe tu, ila hizo m 60 ni changa la macho, serikali inafumbia macho kwa sababu inanufaika na kod
 
Kwa hiyo mkuu wale wanaosema nimecheza kwa buku nikapata M 50 HUWA wanatuzuga...

Mkuu ila Milioni 4 kisa BIKO tu ujue parefu aisee


Mie Ndio nikashangaa, imenipa maswali mengi kuhusu ukweli wa hii michezo , kwasababu haingii hakilini, Mtu kutumie ata laki 5 kwa wiki kucheza bahati na sibu ili ashinde millioni 50, ukipiga maesabu mpaka uje kushinda unaweza ukawwa umetumia hela nyingi kupita hiyo unayopata.

Mie KILIO changu , ni serikali kuangalia hii michezo na kuifuatilia kwa kina, sio tu mtu akiwa na vigezzo vya kupata leseni , inaishia apo , serikali jamani wajalini wananchi wake wasiiibiwe hela na matapeli.
 
Inategemea kipato chako kama 4mil ikawa ziada tu kwa mwezi ukatumia kucheza bingo
 
Ni shida, wengine wanasema wale washindi ni watu wao wanapangwa sasa sijui ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…