Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,197
Kuna jamaa ameshindwa kutoa mchanganuo wa Tsh 15000 tu kww menyu moja tu ya mchana hotelini,kabaki kunamby eti anaagiza sahani 6 za wali na nyama😂😂😂😂.
Je,unaweza kumaliza pesa hiyo kwa kuagiza menyu gani ya "kishua" Hotelini??[chakula ambacho unaweza kumaliza kwa hiyo 15000] Check menyu yangu:
• Nusu kuku -Tsh 7000
• Birian -2000
• Maji ya Kilimanjaro lita 1.5-1500
• Salad ya Matunda -2000
• Juice -0.5 lt(mixed fruit)-2000
• Jero namuachia mtoa vyombo!!😂😂😂
#jr Misosi

Haya ni wakati wako sasa,toa mchanganuo wako!!
#jr Misosi