Haya ni wakati wako sasa,toa mchanganuo wako!!
Hizo ni bei za bar moja hapa mwanza ipo njiapanda ya bwiru.hahahah,na bado hujashiba hapoo
Ungesema kwa wiki kabisa. Malegend wa kutumia 15,000/= ,kwa wiki tupo.Kuna jamaa ameshindwa kutoa mchanganuo wa Tsh 15000 tu kww menyu moja tu ya mchana hotelini,kabaki kunamby eti anaagiza sahani 6 za wali na nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Je,unaweza kumaliza pesa hiyo kwa kuagiza menyu gani ya "kishua" Hotelini??[chakula ambacho unaweza kumaliza kwa hiyo 15000] Check menyu yangu:
β’ Nusu kuku -Tsh 7000
β’ Birian -2000
β’ Maji ya Kilimanjaro lita 1.5-1500
β’ Salad ya Matunda -2000
β’ Juice -0.5 lt(mixed fruit)-2000
β’ Jero namuachia mtoa vyombo!![emoji23][emoji23][emoji23]
#jr Misosi
Kila hoteli au restaurant ina menu yake na bei zake.Kuna jamaa ameshindwa kutoa mchanganuo wa Tsh 15000 tu kww menyu moja tu ya mchana hotelini,kabaki kunamby eti anaagiza sahani 6 za wali na nyamaππππ.
Je,unaweza kumaliza pesa hiyo kwa kuagiza menyu gani ya "kishua" Hotelini??[chakula ambacho unaweza kumaliza kwa hiyo 15000] Check menyu yangu:
β’ Nusu kuku -Tsh 7000
β’ Birian -2000
β’ Maji ya Kilimanjaro lita 1.5-1500
β’ Salad ya Matunda -2000
β’ Juice -0.5 lt(mixed fruit)-2000
β’ Jero namuachia mtoa vyombo!!πππ
#jr Misosi
Hiyo pesa unaweza umudu tuu kununua vitafunwa na soda au maji ukiingia Hotel za kweli. Kwenye mahotel mlo mmoja (simple menu) siyo chini ya US$ 15 ambayo ni sawa na TZS 35,000.Kuna jamaa ameshindwa kutoa mchanganuo wa Tsh 15000 tu kww menyu moja tu ya mchana hotelini,kabaki kunamby eti anaagiza sahani 6 za wali na nyamaππππ.
Je,unaweza kumaliza pesa hiyo kwa kuagiza menyu gani ya "kishua" Hotelini??[chakula ambacho unaweza kumaliza kwa hiyo 15000] Check menyu yangu:
β’ Nusu kuku -Tsh 7000
β’ Birian -2000
β’ Maji ya Kilimanjaro lita 1.5-1500
β’ Salad ya Matunda -2000
β’ Juice -0.5 lt(mixed fruit)-2000
β’ Jero namuachia mtoa vyombo!!πππ
#jr Misosi
Kama unazungumzia Chakula cha Hotelini basi unatakiwa kufahamu kuwa bila mbwembwe zozote 15,000/= Cash ni wali mbogamboga na viambata vyake kama Maji ndogo,tunda n.k au labda kama unazungumzia Cafeteria za huko Uswazi kwenu ndo utaanza kuagiza zaidi ya vitu vitatu kwa hela hiyo.Kuna jamaa ameshindwa kutoa mchanganuo wa Tsh 15000 tu kww menyu moja tu ya mchana hotelini,kabaki kunamby eti anaagiza sahani 6 za wali na nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].