ππMimi sio mpenzi wa Mahoteli maana ndiko vyakula bei ghali....
KFC Zinga wings kaa sikosei ni elfu 9. Hapo juisi ni elfu 2500. Haujanywa maji....na ice cream ukiwa unaondoka.
Colonel burger nadhani ni elfu 12...bado juice na ice cream....15 000 ishakata hiyo.
duuuhπ€π€Kama unazungumzia Chakula cha Hotelini basi unatakiwa kufahamu kuwa bila mbwembwe zozote 15,000/= Cash ni wali mbogamboga na viambata vyake kama Maji ndogo,tunda n.k au labda kama unazungumzia Cafeteria za huko Uswazi kwenu ndo utaanza kuagiza zaidi ya vitu vitatu kwa hela hiyo.
hapo kwenye pilau mbuzi patammm mkuuHiyo pesa unaweza umudu tuu kununua vitafunwa na soda au maji ukiingia Hotel za kweli. Kwenye mahotel mlo mmoja (simple menu) siyo chini ya US$ 15 ambayo ni sawa na TZS 35,000.
Ukienda kwenye migahawa mfano unapiga mwenu nzuri kwa TZS 6,000 (Pilao mbuzi, Biriani au mlo wowote wa kuku) na Juice nzuri ya 1,000 unabakiwa na pesa ya kesho
Kwa siku nakula buku mbili tu:Asubuhi napiga deshi, Mchana napiga msosi kwa mama ntilie wa buku na jioni buku, maji nakunywa ya bomba.hahahaha unanunua nini labda[emoji23][emoji23]!!