Je, unaweza kuwa tajiri bila kuwa mshirikina?

Inawezekana kabisa... Lakini shida huja kutaka kuuongeza na kuulinda... Hapo ndipo uchawi huanzia

Jr[emoji769]

Mkuu hapo kwa kuulinda na kuongezeka nakubaliana na wewe ila sio kwa uchawi
Ila kama aggressions inaingia kwenye uchawi sawa
Mleta mada anasema mpaka matajiri wakubwa DUNIANI nimekazia hapo
Nimekaa nchi zilizoendelea nyingi kwa miaka 40 na nimeona biashara zikianza from scratch mpaka kufika kuwa ya kimataifa kwa juhudi na mbinu yaani dedication
Nasikia wengi wana imani zao za kishirikina na kuamini huwezi kuwa tajiri bila kuwa mshirikina
Mimi nilikulia kwenye familia yenye biashara na wazazi wangu hawakuwa wanajua zaidi ya biashara
Na mpaka leo kuna chain ya biashara tunayo ambayo aliianzisha mzee mwaka 1956 na mpaka leo ipo na tumerithisha watoto wetu pia na wao wanaiendeleza
Sasa hapo kuna uchawi kweli?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Inawezekana sema lazima umtegemee MUNGU asilimia mia moja bila hivyo utajiingiza tu huko kwenye waganga na uchawi
YESU akiwa ndani yako na matendo ya haki Hakika hakuna la kukudhuru lakini ikiwa wewe na MUNGU kama mlishapigana basi ujue wwe unapoelekea ni kule kule ili kupata ulinzi lazima utafute nguvu za Giza
Sawa nimekuelewa . Je kuna mtu unaemfahamu na unauhakika amefanikiwa kwa kiwango cha juu(ubilionea) 100% bila nguvu zakishirikina..
Majibi yako yawe yana utafiti ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo kwa kuulinda na kuongezeka nakubaliana na wewe ila sio kwa uchawi
Ila kama aggressions inaingia kwenye uchawi sawa
Mleta mada anasema mpaka matajiri wakubwa DUNIANI nimekazia hapo
Nimekaa nchi zilizoendelea nyingi kwa miaka 40 na nimeona biashara zikianza from scratch mpaka kufika kuwa ya kimataifa kwa juhudi na mbinu yaani dedication
Nasikia wengi wana imani zao za kishirikina na kuamini huwezi kuwa tajiri bila kuwa mshirikina
Mimi nilikulia kwenye familia yenye biashara na wazazi wangu hawakuwa wanajua zaidi ya biashara
Na mpaka leo kuna chain ya biashara tunayo ambayo aliianzisha mzee mwaka 1956 na mpaka leo ipo na tumerithisha watoto wetu pia na wao wanaiendeleza
Sasa hapo kuna uchawi kweli?

Sent from my iPhone using Tapatalk
Watu kama nyie ndo nilowatafuta kwa miaka mingi bila mafanikio. Na majibu yako ndo niloyatafta na ndo lengo la thread yangu. Please naomba niku inbox tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ninachoamini kua ushirikina upo na una nguvu sana, na ndio unaoendesha maisha ya wengi. Kwenye biashara au sehemu yoyote yenye riziki kuna nguvu za gjza nyingi zinatuandama, mimi nimeshuhudia na nina conckude kua "kufanya biashara huku kwetu uswahilini ukiwa mweupe huwez kutoboa never, yan utakua unawafanyia wenzio biashara na mwisho wa siku biashara itakufa."

Mi naamin kua matajiri weusi 99.9% nguvu za giza zinahusika sana. Linapikuja suala la pesa watu weusi tunarogana kishenziiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi fanya biashara na ukakutana na changamoto hizo.? Ulijuaje? Na ulifanyaje kukabiliana na changamoto hiyo??.
Tupeane uzoefu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ninachoamini kua ushirikina upo na una nguvu sana, na ndio unaoendesha maisha ya wengi. Kwenye biashara au sehemu yoyote yenye riziki kuna nguvu za gjza nyingi zinatuandama, mimi nimeshuhudia na nina conckude kua "kufanya biashara huku kwetu uswahilini ukiwa mweupe huwez kutoboa never, yan utakua unawafanyia wenzio biashara na mwisho wa siku biashara itakufa."

Mi naamin kua matajiri weusi 99.9% nguvu za giza zinahusika sana. Linapikuja suala la pesa watu weusi tunarogana kishenziiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio weusi tu, hata weupe. Tofauti yetu na wao ni kuwa, weupe hawana time ya kumharibia mwenzie wao hujikita sana kwenye kafara na kuweka maagano na mzee Lucifer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo kwa kuulinda na kuongezeka nakubaliana na wewe ila sio kwa uchawi
Ila kama aggressions inaingia kwenye uchawi sawa
Mleta mada anasema mpaka matajiri wakubwa DUNIANI nimekazia hapo
Nimekaa nchi zilizoendelea nyingi kwa miaka 40 na nimeona biashara zikianza from scratch mpaka kufika kuwa ya kimataifa kwa juhudi na mbinu yaani dedication
Nasikia wengi wana imani zao za kishirikina na kuamini huwezi kuwa tajiri bila kuwa mshirikina
Mimi nilikulia kwenye familia yenye biashara na wazazi wangu hawakuwa wanajua zaidi ya biashara
Na mpaka leo kuna chain ya biashara tunayo ambayo aliianzisha mzee mwaka 1956 na mpaka leo ipo na tumerithisha watoto wetu pia na wao wanaiendeleza
Sasa hapo kuna uchawi kweli?

Sent from my iPhone using Tapatalk
Mtoa mada kasema inategemeana na level ya utajiri. Na ushirikina upo wa aina nyingi pengine wee usijue. Yawezekana mwanzilishi wa hio biashara aliweka maagano, ndo maana hio biashara inaendelea. Utajiri una siri kubwa sana asikwambie mtu. Ndo maana leo hii ukimfata tajiri ukamuuliza aisee.., ulifanyafanyaje...ukatoboa.? Hawezi kukupa ile top secret. Atakuambia juhudi tuu na nidham ya pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa comment yako mana umeelezea uhalisia wa maisha ya kiafrika yalivyo.
Hivi umewahia fanyia utafiti ulichoelelezea, ili tuanzia apo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kufanya utafiti...ila nimeishi..
Nimekutana navyo...nimepigwa hela..akili ikanikaa sawa...nikaweka elimu pembeni..nikaaingia kwa waliofanikiwa mtaanin..nimeanza shule mpya ...nikajua visivyojulikana...
 
Mtoa mada kasema inategemeana na level ya utajiri. Na ushirikina upo wa aina nyingi pengine wee usijue. Yawezekana mwanzilishi wa hio biashara aliweka maagano, ndo maana hio biashara inaendelea. Utajiri una siri kubwa sana asikwambie mtu. Ndo maana leo hii ukimfata tajiri ukamuuliza aisee.., ulifanyafanyaje...ukatoboa.? Hawezi kukupa ile top secret. Atakuambia juhudi tuu na nidham ya pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza kama unaamini shirk ni moja na kama huamini kama mimi ni kitu kingine
Mkuu nikuambie kitu ushirikina na uchawi upo hata uhasidi upo na yote hayo yapo kwenye vitabu na maandiko ila wengine tunaambiwa tusiufuate na kuukubali
Alianza na biashara moja na kufungua sehemu nyingine ya biashara tofauti tatu hapo income ikaongezeka mara dufu
Kufanya biashara inataka mipango mingi na kuchagua kipi watu wanahitaji zaidi
Miaka ya 60 nakumbuka duka letu la retail lilikuwa na bidhaa za mchanganyiko nyingi sana yaani karibu mahitaji yote anayotaka binadamu nyumbani kwake
Na hapo ni zaidi ya bidhaa mia
Turudi kwenye ushirikina
Wafanyabiashara waswahili wameanza miaka ya karibuni zamani walikuwa ni wakuja tu
Walipoanza biashara nyingi zilikufa kwa sababu hawajui strategies za biashara
Ndipo wanaenda kutafuta mganga
Mganga anakupa dawa na masharti pia
Nimeshuhudia wengi wenye maduka alfajiri nikiwa napiga zoezi
Unakuta wauzaji wanafungua maduka kwa macho yangu naona mmoja anapangusa kwa maji bidhaa zote
Mwingine kapewa masharti amwagie kwa kutumia kikombe (yote haya nimeyaona)
Sasa the best part inakuja
Nikiangalia hapo mbali na kupaka maji au kumwagia
Huyo mfanyabiashara kafungua duka saa 12 asubuhi na anafunga saa 2 usiku
Hapo ndio UCHAWI wenyewe
Kwa sababu anafanya kazi masaa yote hayo kwa siku Saba
Masharti ya mganga ufungue saa 12 asubuhi na ufunge saa 2 huoni uchawi wa kiuchumi hapo
Kwa nini asiambiwe lala tu na hela zitajaa kitandani?

Mkuu wapo watu sokoni wanauza nyanya halafu kila kukicha kwa mganga na mpaka anakufa anaacha meza Ina bidhaa Sita tu maisha yote sasa huyo mbinu za biashara hana bali ameamini karogwa

Nakumbuka supermarket moja huku nilipo walianza kuuza vyakula tu na walikuwa na products 20,000
Mshauri mmoja akawaambia waongeze bidhaa zaidi ya chakula
Wakaweka vyombo vya kupikia na baadae wakaongeza electronics baada ya miaka wakaweka vitu vya garden
Leo wana supermarkets zaidi ya 3000
Na wanafungua 24 hours je sio uchawi unaouamini huo?
Uchawi ni kujituma ila kama uchawi umekuwa rubberstamp kwenye kichwa hakuna wa kukubadilisha

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sio kufanya utafiti...ila nimeishi..
Nimekutana navyo...nimepigwa hela..akili ikanikaa sawa...nikaweka elimu pembeni..nikaaingia kwa waliofanikiwa mtaanin..nimeanza shule mpya ...nikajua visivyojulikana...
Hahahhahaha... Ukajua visivyojulikana?..
Ok. Hebu tuhame mada kidogo, katika biashara au kazi kuna kutofanikiwa kwa sababu za mtu mwenyewe labda kwa uzembe, uvivu, ubunifu, kutotafta maarifa juu ya anachokifanya nk.., pia kuna kutofanikiwa kwa kufifizwa na imani za kishirikina kama vile mzgo upo ila wateja hawaji wala hawanunui afu jiran hana hata mzigo wa mana ila anauza, kupoteza pesa kishirikina(chuma ulete) nk.
Sasa zipi ni tofauti tunaweza kutumia kumtambua au kujitambua kama tatzo ni wewe mwenyewe au kuna kitu nyuma yako???

🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏👌👌👌
 
Biashara pekee unayoweza kuifanya na usifanye shiriki ni Capital Markets Investment pekee.
Treasury Bills
Treasury Bonds
Shares n.k
Why? Because hakuna anayeweza kuona hiyo biashara kwa macho na khusda husababishwa na macho siku zote.
Mwanadamu anapoona mafanikio yako huumia sana, hapo huanza kutengeneza mazingira ya kukudhuru, that's why watu huficha mambo yao na huacha mafanikio yaonekane kwani raia wakifahamu mapema hufunga Malengo yako kwani wao wanakijicho hasi katika mafanikio yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchawi unaanza pale jamaa anapotaka kukurudisha nyuma ili unywe chai kwa mruzi (bila kitafunwa). Hapo ndipo kazi huanza na wewe unapojilinda ndio taratiiibu waganga wanakuwa swahiba zako, ukitahamaki umekuwa gwiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahaha... Ukajua visivyojulikana?..
Ok. Hebu tuhame mada kidogo, katika biashara au kazi kuna kutofanikiwa kwa sababu za mtu mwenyewe labda kwa uzembe, uvivu, ubunifu, kutotafta maarifa juu ya anachokifanya nk.., pia kuna kutofanikiwa kwa kufifizwa na imani za kishirikina kama vile mzgo upo ila wateja hawaji wala hawanunui afu jiran hana hata mzigo wa mana ila anauza, kupoteza pesa kishirikina(chuma ulete) nk.
Sasa zipi ni tofauti tunaweza kutumia kumtambua au kujitambua kama tatzo ni wewe mwenyewe au kuna kitu nyuma yako???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa bahili..weka mahesabu...mda mfupi tu utagundua mambo hayaendi poa
 
Waafrika tunashida sana,
Hatutaki kujituma na kujitoa kama wenzetu wa rangi nyeupe,
Wanajali kazi na kujitoa kwa bidii.
Sisi ukishapata visent na kuitwa boss unabweteka na kujiona boss maisha umemaliza.
Akitokea mtu akafanya kazi kwa nguvu zote na kufanikiwa anaonekana mshirikiana na kwakuwa akili zetu tumetune kwenye ushirikina kuna mafanikio.. Tutachelewa sana

Hakuna ushirikina zaidi ya jitihada zako mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom