Je unaweza kuweka feni kwenye ceiling baada ya kufanya finishing?

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Habari ndugu zangu
Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa finishing inaweza kuwekewa feni ile ya juukwenye ceiling??? Au kuna kifaa gani kingine cha kukabiliana na joto ukiondoa ac??
 
anaweka mbao na hook kule juu, anatoboa ceiling board tundu la 1 inch shaft ya feni kupita
kuhusu switch ukutani, kuna feni zinatumia remote control za 150k
 
Asante! Hivi ukitoa AC na hizo feni ni kifaa gani kingine kinafaa kuregulate temperature vizuri nyumbani??
 
Mkuu kama ulivoambiwa hapo juu. Kuna fan za remote zinakaa juu kwenye ceiling au mezani. Ukitoa fan hizo na AC kuna inaitwa Air cooler ipo kama fridge ila wanasema haina unaridi vizuri sina uhakika
Asante! Hivi ukitoa AC na hizo feni ni kifaa gani kingine kinafaa kuregulate temperature vizuri nyumbani??
 
Habari ndugu zangu
Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa finishing inaweza kuwekewa feni ile ya juukwenye ceiling??? Au kuna kifaa gani kingine cha kukabiliana na joto ukiondoa ac??
Fani inafungwa tu baada ya finishing
 
Back
Top Bottom