Kuna namna fundi anafanya haileti damageAsante ninachotaka kujua haitaleta damage kwenye ceiling??
HAkuna uharibifu wowote utatokea, na kurahisisha hapo kwenye switch ya taa ataweka switch ya double na regurator hapo hapoAsante ninachotaka kujua haitaleta damage kwenye ceiling??
Asante! Hivi ukitoa AC na hizo feni ni kifaa gani kingine kinafaa kuregulate temperature vizuri nyumbani??
Fani inafungwa tu baada ya finishingHabari ndugu zangu
Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa finishing inaweza kuwekewa feni ile ya juukwenye ceiling??? Au kuna kifaa gani kingine cha kukabiliana na joto ukiondoa ac??