barracks Senior Member Joined Aug 8, 2014 Posts 103 Reaction score 25 Apr 30, 2019 #1 Wataalam wa hizi kazi naomba kuuliza Hivi kuna uwezekano wa kutumia condom wakati wa tendo la ndoa na bado ukapata mchubuko hata kama condom haijapasuka?
Wataalam wa hizi kazi naomba kuuliza Hivi kuna uwezekano wa kutumia condom wakati wa tendo la ndoa na bado ukapata mchubuko hata kama condom haijapasuka?
xy-gene Member Joined Mar 20, 2019 Posts 68 Reaction score 54 Apr 30, 2019 #2 Unaanzaje kuchubuka sasa wakati Condom haijachanika?
Lawrichie JF-Expert Member Joined Aug 27, 2013 Posts 825 Reaction score 2,340 Apr 30, 2019 #3 Anaweza kupata michubuko kama ukeni kukavu sana ( uke hauna kilainishi chochote)