Je, unaweza pata mchubuko bila kondomu kupasuka?

barracks

Senior Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
103
Reaction score
25
Wataalam wa hizi kazi naomba kuuliza

Hivi kuna uwezekano wa kutumia condom wakati wa tendo la ndoa na bado ukapata mchubuko hata kama condom haijapasuka?
 
Unaanzaje kuchubuka sasa wakati Condom haijachanika?
 
Anaweza kupata michubuko kama ukeni kukavu sana ( uke hauna kilainishi chochote)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…