Je unaweza ukafanya urine culture na ukaambiwa hakukuna bacteria walioota na bado ukawa unasumbuka na U.T.I

U. T. I ya kichawi na ya kipepo ndio imebamba mjini
 
Wengi sana hapa tz mnaibiwa sana pesa zenu kwa kuambiwa unaumwa UTI....kweli wajinga ndiyo waliwao.
 
Hii imenitokea Kuna kajospital nimefanyanya culture watasema hakuna tatizo nikienda kwingine ni uti na dalili zipo Kuna hosptal hawajali afya za watu wanatuibia sana
 
Dawa ni kunywa maji kwa wingii mm mwaka namaliza uti Naisikia kwa jirani
Hii imenitokea Kuna kajospital nimefanyanya culture watasema hakuna tatizo nikienda kwingine ni uti na dalili zipo Kuna hosptal hawajali afya za watu wanatuibia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…