Je, unayo menyu ya SME kutoka Airtel?πŸ’ƒ

Hivi hizo tin number huwa zinawasaidia nini?
Kuna uhusiano gani wa mtu kuwa na tin number na kutumia kifurushi.

Mtanyooka tu ngoja starlink aingie, 10GB mtauza kwa sh 1500 bila tin number.
 
tin ninayo ila nilishaiahau...πŸ˜…
 
Hivi hizo tin number huwa zinawasaidia nini?
Kuna uhusiano gani wa mtu kuwa na tin number na kutumia kifurushi.

Mtanyooka tu ngoja starlink aingie, 10GB mtauza kwa sh 1500 bila tin number.
🀣 waje tu hao starlink tuji link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…