Je, Unazijua faida za kuvuta Sigara?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363


Hizi ndizo faida ya sigara.

1. Mwizi hawezi kuiba kwako usiku.

2. Mbu hakukaribii karibu yako.

3.Huzeeki bali unakuwa kijana tu.

Naam lazima mutajiuliza kwanini hivo. Wacha niwape maana ya hizi faida ya sigara;

1. Mwizi hawezi kuingia kwako kwa sababu usiku kucha hulali kwa kukohowa mara kwa mara nyakati za usiku

2. Mbu hakukaribii kwa sababu ya moshi na harufu kali ya sigara.
3. Huwi mzee kwa sababu mapafu yanaoza na kifua ujumla kinaharibika huwa vitu vyote vya ndani vyaoza ndio wafa mapema kabla hujazeeka.

Mwenyeezi Mungu atuongoze njia iliyonyooka.
Amiin.

 
FAIDA ZA SIGARA


  • Wavuta sigara hawazeeki.
  • Wavuta sigara hawaumwi na mbuu.
  • Wavuta sigara hawaingiliwi na wezi usiku.


sababu:


  • Kwanini hawazeeki: sababu hufa mapema kutokana na kuunguza mapafu.
  • Kwanini hawaumwi na mbu: sababu wanatembea na moshi kila mara.
  • Kwa nini hawaingiliwi na wezi: kwasababu hukoa usiku kucha ivo hata mwizi hujua jamaa yupo macho.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…