Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Hizi ndizo faida ya sigara.
1. Mwizi hawezi kuiba kwako usiku.
2. Mbu hakukaribii karibu yako.
3.Huzeeki bali unakuwa kijana tu.
Naam lazima mutajiuliza kwanini hivo. Wacha niwape maana ya hizi faida ya sigara;
1. Mwizi hawezi kuingia kwako kwa sababu usiku kucha hulali kwa kukohowa mara kwa mara nyakati za usiku
2. Mbu hakukaribii kwa sababu ya moshi na harufu kali ya sigara.
3. Huwi mzee kwa sababu mapafu yanaoza na kifua ujumla kinaharibika huwa vitu vyote vya ndani vyaoza ndio wafa mapema kabla hujazeeka.
Mwenyeezi Mungu atuongoze njia iliyonyooka.
Amiin.