Je unazijua sura za wanaume?


Kwani ni uongo???
 
nimekutana nayo by accident....lol


Naona haka ka system kakua na thread kwa chini ambazo za fanana na the original thread ambayo wa browse.... Nimeipenda saana.

What do you like about the topic Boss?
 
Naona haka ka system kakua na thread kwa chini ambazo za fanana na the original thread ambayo wa browse.... Nimeipenda saana.

What do you like about the topic Boss?

nothin....
entertaining a bit lol
 
i define ya denzel
yangu ni younger version yake lol


Naona bragging back to its Mkondo.... Denzel is an almost perfect version of a man... I wonder if he is the same in the suck!:biggrin:
 
Naona bragging back to its Mkondo.... Denzel is an almost perfect version of a man... I wonder if he is the same in the suck!:biggrin:

well actually my women says
he is coming close to look like me....lol
 
Achen jokes huo ni uumbaji wa Mungu na c kutokana na hzo unwanted face with unreasonable reasons!
 
tunazungumzia looks or loaded??lol
hebu kawapikie wtoto x mass leo.....lol



Hahaha.... Your comment has told me umeelewa why i have said that.....lol....

Uzuri wa kua na mume muelewa.... Walau once in 6 months one evening hunisaidi jikoni....
 
mwanaume unatakiwa kuwa na sura nzito, chachu, ngumu wala si lelelege, mwanamke ndio anatakiwa kuwa na sura ya kulegea kwasababu yeye ndiye wa kulembua, akiwa na sura ngumu chachu atalembuaje, ukiona mwanamme ana sura ya kulembua kama demu ujue huyo ana genes za kidemu demu ana anaweza kuwa bwabwa.
 
Mwenye hii thread cjui wa kwako ana sura gani?
 
F. LADY mkimaliza kutuchambua sura mtashuka tu chini mtakuja kutuchambua vifua vyenye manyoya na visivyo, then vitovu vyetu kisha mtashuka Das-lam kunako Mwenge wa miaka 50 ya uhuru.
 
hahaha nimeangalia similar topics na hii thread,eti mojawapo ni ' unazijua mbinu wanazotumia CCM kushinda uchaguzi wa october 2010'...heehe how?
 

Exactily, Wote tumeumbwa na Mungu ....uki judge sana ....Chaka
 
Sura nzito sio mbaya sana ila ndo kubwa mno kuliko umbile, ngumu, ni ya kawaida kwa umbile but mbaya balaa, telez ni handsome boy, chachu inakuwa ka haielewek mbaya bt ya mtu alochangamka sio bozo/mpole.
 

mi nabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…