Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Hapo kipindi cha nyuma kidogo wana-JF walikuja na mtindo fulani amazing sana wa signature. Yaani ilikuwa ni kama title fulani inakaa chini ya comment, hizi title kwa kweli zilikuwaga zinaelimisha sana, zinahasa na zingine zinamafunzo ndani yake.
Binafsi ilikuwa ni kitu ambacho ninapenda hasa zilikuwa zinanipa mafunzo mbalimbali na kuamini kweli niko ndani ya magreat thinkers.
Hizi ni baadhi ya signature ambazo ninazikumbuka hadi leo japokuwa sikumbuki majina ya watu waliokuwa wanazitumia lakini hizi jumbe haziondokagi kwenye kichwa changu
1. "Kama hukutakata mtoni usitegemee kutakata bafuni"
2. "Better die standing than live on your knees"
3. "Hard work is a prison sentence if it does not have meaning"
4."What Zidane Does With the Ball, Maradona Would Do With an Orange"
5. " Nimezaliwa ili nife, nawaheshimu wote lakini simwogopi yeyote"
Hizo ndio baadhi ambazo ninazikumbuka kama kuna zingine unazikumbuka tupia humu
Sikuhizi unakuta mtu signature eti anaandika " OVA " basi hapo ndo kamaliza.