Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naupenda sana huu utaratibu japo mimi umenishinda ila natamani niweze pia maana maisha yako kasi hata kuonana na ndugu ni nadra.Kuna huu utaratibu wa kila mwaka watu tunarudi vijijini kukusanyika na ndugu na jamaa je ni utamaduni mzuri maana kwasasa maisha yanabadilika kuna wengine kipindi hicho ndio kipindi cha kukaa na familia zao mapumziko maeneo ya kisasa
Utawajuaje watoto wa watoto (wajukuu) wa kaka, dada, binamu nk au sio muhimu?Kuna huu utaratibu wa kila mwaka watu tunarudi vijijini kukusanyika na ndugu na jamaa je ni utamaduni mzuri maana kwasasa maisha yanabadilika kuna wengine kipindi hicho ndio kipindi cha kukaa na familia zao mapumziko maeneo ya kisasa
Ni utaratibu mzuri mno kwa watu wote waliostaarabika hufanya hivyo. Hapa Tz hakuna sana ustaarabu huo kwani wengi wakitoka nyumbani ndio ukombozi wao na hawataki kurudi nyuma tena kwani nyumbani kwao kumejaa mateso na kila ushenzi ikiwa ni pamoja na wanga na ushirikina mkubwa.Kuna huu utaratibu wa kila mwaka watu tunarudi vijijini kukusanyika na ndugu na jamaa je ni utamaduni mzuri maana kwasasa maisha yanabadilika kuna wengine kipindi hicho ndio kipindi cha kukaa na familia zao mapumziko maeneo ya kisasa